Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kwa wale ambao tupo magetoni na hatuja ajiriwa napenda kuwatia moyo kua tupambane tu kitaa. Kama huna mishe maalumu piga kazi yoyote ile iliyo halali. (mm sio mdau wa madili haramu, ingawa nilishawahi kufanya baadhi)
Lengo Ni kujitengenezea kipato kitakachofanya uendelee kusurvive maghetoni (pango, na mahitaji mengine madogo. Yaan hapo usichague kazi Kama huna kazi maalumu ilimradi unanguvu, Basi nguvu na akili iwe mtaji wako wa kwanza.
Pia usisahau kutafuta mishe maalumu utakayoitegemea Kama shughuli kuu ya kiuchumi, hii itasaidia kufocus na maisha. Ukiwa na mishe maalumu itakufanya uwe na uchumi flani stable, mfano Kama inakupa laki 300000 kwa mwezi Basi inakua uhakika, yaani inakua stable lazima hicho kiasi kiingie. Hapa pia malengo ya maisha kwa kiasi fulani hua yanafanikiwa au yanakaa sawaa.
Wadau Jambo kubwa usiisahau kuishi vizuri na jamii inayokuzunguka toka kwenye misiba, changia rambirambi, changia shughuli za maendeleo ya mtaa, Kijiji, kata. Maana utahitaji uwepo wao hasa viongozi ikitokea baadhi ya vitu kma umeibiwa, umeugua Sana na ndugu wako mbali, umefiwa, umepata ajali, au majanga ikapelekea kupelekwa polisi n.k. hivyo jamii itakuokoa pia.

Hapo chini ndo mishe zangu nauza mawe ya kujengea.
IMG_20211227_172006_656.jpg
 
Hapo chini ndo mishe zangu nauza mawe ya kujengea. View attachment 2068429
Asantee mkuu kwa mchango wako..bila shaka wana watanufaika
 
Mwaka huu lazima nijitegemee,,Nimepanga kununua godoro la 4×6, Gesi,Kodi ya miezi mi3 baas,,vingine vitakuja mdomdo2

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Namshauri godoro anunue 5*6. Ni kubwa linatosha kulala watu 2. Vzr. Then hutanunua Tena. Ila 4*6 itakumfanya baadae ununue lingine maana ataona Ni dogo kwa baadae. Kama unaweza vitu vya ghetto nunua Mara moja usirudie rudie. Mfano. Kma tv chukua kubwa maybe 32 inch, yaan baada ya hapo hutawaza kununua tv nyingine. Kitanda nunua kikubwa hutawaza kununua kingine. Hivyo vitu vilinicost sana. Ilinibiti nianze kununua vikubwa Tena.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Namshauri godoro nunua 5*6. Ni kubwa linatosha kulala watu 2. Vzr. Then hutanunua Tena. Ila 4*6 itakufanlya baadae ununue lingine maana utaona Ni dogo kwa baadae. Kama unaweza vitu vya ghetto nunua Mara moja usirudie rudie. Mfano. Kma tv chukua kubwa maybe 32 inch, yaan baada ya hapo hutawaza kununua tv nyingine. Kitanda nunua kikubwa hutawaza kununua kingine. Hivyo vitu vikinicost sana. Ilinibiti nianze kununua vikubwa Tena.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Well said mkuu [emoji383][emoji383]
 
Namshauri godoro anunue 5*6. Ni kubwa linatosha kulala watu 2. Vzr. Then hutanunua Tena. Ila 4*6 itakumfanya baadae ununue lingine maana ataona Ni dogo kwa baadae. Kama unaweza vitu vya ghetto nunua Mara moja usirudie rudie. Mfano. Kma tv chukua kubwa maybe 32 inch, yaan baada ya hapo hutawaza kununua tv nyingine. Kitanda nunua kikubwa hutawaza kununua kingine. Hivyo vitu vilinicost sana. Ilinibiti nianze kununua vikubwa Tena.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Afanyie kazi huu ushauri.
Mimi nilijitoa ufahamu kabisa. Nlivuta tv Inch 32, kitanda 5x6, godoro la inch 12, zulia la manyoya, meza safi na mazagazaga mengne. Kwa sasa sina bajeti ya kununua chochote getoni.
 
Geto raha sana shida inakuja kwenye suala la kuosha vyombo baada ya kupika.... ACHA NITAFUTE HOUSE GIRL TU HAKUNA NAMNA
Housegirl utamtafuna tu, kuna mwana mmoja alishauriwa aoe akakacha akamleta housegirl ili asaidie kazi baada ya muda alianza kujisevia mdogo mdogo mpaka akapata kibendi, ikabidi awe wife tu
 
Wakuu mm nataka panga geto ila kwa boom la diploma pale dit first year.Nawasilisha kwenu kama inawezekana coz sitalajii kufanya kazi yoyote nategemea boom pekee.Sitarajii kufanya biashara sababu nachukua course ngumu kiasi
 
utafanikisha tu inbadi ufanye unyama mwingi
 
Back
Top Bottom