Ulianzaje kukaa gheto?

Safi Sana kaka
 
Nipo peke yangu na support ya ndugu ninayo.
Wapi nafuu kati ya magomeni na kigamboni katika kodi na usafiri hadi dit?
 
Mkuu sitaki kurudi home tena.Kuhusu mambo ya bebezi sijatilia maanani kihivyo,bado naweza piga msuli.
 
Dah safi sana nampango nitafute friji ndogo asee napenda sana maharage shida kupika kila siku changamoto, Umenipa wazo Moja kubwa sana nkipata friji weekend nkiwa home napika mazaga hayo
 
Nipo peke yangu na support ya ndugu ninayo.
Wapi nafuu kati ya magomeni na kigamboni katika kodi na usafiri hadi dit?
Kama mwenyewe nenda magomen karibia na manzese(njia hyo yanapopita mwendokasi) nauli bei Chee ila ukitaka kigamboni daily utapiga Anza kanoon au laa ulazimishe kupanda gari mbili zisizo na lazima.
 
Kama mwenyewe nenda magomen karibia na manzese(njia hyo yanapopita mwendokasi) nauli bei Chee ila ukitaka kigamboni daily utapiga Anza kanoon au laa ulazimishe kupanda gari mbili zisizo na lazima.
Mkuu mwendokasi nauli si 650.Nikipiga Anza kanoon bei ngapi?
 
[emoji16]
 
Mkuu mwendokasi nauli si 650.Nikipiga Anza kanoon bei ngapi?
Kama unatokea kigamboni feri itakubidi kulipia pantoni mara ya mwisho me kupanda ilikuwa 200 ukishuka kwa pantoni mpaka kuikamata dit kutembea ni kihatua kidogo njia ni mbili Lakin Moja ya kutokea DMI,lango la jiji, Samora, kisutu then uikamate DIT alafu nyingine ni ya kupitia posta mpya ambayo ndo ndefu zaidi. Kama utapita darajani nauli hadi machinga complex ni 500 Sijui 600 ukifika machinga utapanda gari zinazoenda posta mpya au mnazi m1 apo nauli 400, So hadi hapo umeelewa wap nafuu kwako

NB: Apo ni kama umebahatika kupata chumba karibu kabisa na feri Lakin tofauti na hvyo itakulazimu uongeze naul tena ya bajaji 500
 
We si unaona mambo wanayo fanya hao madada [emoji16]
[emoji23][emoji23]wanaishi na mabaharia wao Lakin kingine nikisema nisilete manzi yng si wataniona me namna gani vipi (napulizwa nn)
 
Nipo peke yangu na support ya ndugu ninayo.
Wapi nafuu kati ya magomeni na kigamboni katika kodi na usafiri hadi dit?
Magomeni au Manzese gari zinakuacha pale fire au lumumba unajongea mdogo mdogo mpk chuo, kuhusu Kigamboni mdogo mdogo ni kutokea pale feri ( kuna vyumba vipo sio mbali na feri kwa kigamboni) hivyo kama vipindi vya asubuhi gari muhimu ili kuwahi (300 tu) na 200 pantoni ila kurudi ni wewe tu,

kuhusu bei, kote inategemeana na quality ya chumba, kadri chumba kinavyokuwa classic ndio bei inapanda ( tiles, fensi, gypsum, aluminium n.k) ila hivi vya kawaida 30k mpaka 50k kwa mwezi
 
Kuna uhakika wa chumba karibia na feri?Maana hizo sehemu zinagombewa kwakua kila mtu anataka unafuu au imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…