Ulianzaje kukaa gheto?


Hongera sana
 
kuna jamaa yangu wa karibu, alitoka kwao baada ya kuona wadai wake,wanamfuata hadi kwao kutaka hela zao,hapo anafanya kazi lkn anaishia kukopa kwa mwasibu, akaniambia P.soul mm naenda kujificha na nabadili namba ya simu, sina aman kbs maisha haya.akaendaga wap cjui....huku akiendelea n kazi..10 month ilipita, akawa stable kimaisha mpk ck ananipigia nashangaaa..kanenepa,anahela htr...The rest is history.
 
Mkuu sitaki kurudi home tena.Kuhusu mambo ya bebezi sijatilia maanani kihivyo,bado naweza piga msuli.
Yaan kana. Huna mpango wa kurudi home nenda kapange, chukua chumba Cha Bei Chee kwa. Kuanza navyo. Kama support Ni ndogo kua makini Sana mdogo angu.
 
Kama mwenyewe nenda magomen karibia na manzese(njia hyo yanapopita mwendokasi) nauli bei Chee ila ukitaka kigamboni daily utapiga Anza kanoon au laa ulazimishe kupanda gari mbili zisizo na lazima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kupiga Anza kanoon so poa
 
Vip kuhusu gharama za umeme...


Mimi mwenyew natamani mafriji,blender nk lakin umeme ni mkubwa sana

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…