Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

mi baba angu wa kufikia alinifukuza, nikasepa afu alijua nitshangaika kumuomba nirudi home, nilifurahi coz home siku zote hasa mama hakupenda mtu kupanga wakati pa kukaa papo.... uzur nilivokuwa home nilikuwa najitahid tu kununua vitu vya ndani yaan vyote muhimu geto nilifikia kununua TV tu. maisha yakasonga,now ni mama nzuri tu

Hongera sana
 
kuna jamaa yangu wa karibu, alitoka kwao baada ya kuona wadai wake,wanamfuata hadi kwao kutaka hela zao,hapo anafanya kazi lkn anaishia kukopa kwa mwasibu, akaniambia P.soul mm naenda kujificha na nabadili namba ya simu, sina aman kbs maisha haya.akaendaga wap cjui....huku akiendelea n kazi..10 month ilipita, akawa stable kimaisha mpk ck ananipigia nashangaaa..kanenepa,anahela htr...The rest is history.
 
Mkuu sitaki kurudi home tena.Kuhusu mambo ya bebezi sijatilia maanani kihivyo,bado naweza piga msuli.
Yaan kana. Huna mpango wa kurudi home nenda kapange, chukua chumba Cha Bei Chee kwa. Kuanza navyo. Kama support Ni ndogo kua makini Sana mdogo angu.
 
Kama mwenyewe nenda magomen karibia na manzese(njia hyo yanapopita mwendokasi) nauli bei Chee ila ukitaka kigamboni daily utapiga Anza kanoon au laa ulazimishe kupanda gari mbili zisizo na lazima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kupiga Anza kanoon so poa
 
IMG_6376.jpg

Kabla ya kuhonga shiba wew kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc[mention]financial services [/mention]
 
Wikiendi nikiwa free nachemsha maharage kilo mbili ,nyama kilo 3/4 hivi kuna visado naweka humo hayo makitu yanakaa kwenye freezer

Kazi yangu ni kusaga nyanya na brenda na kukata vitunguu ,hoho na karoti naunga mboga zangu safi nakuka wali au ugali .

Freezer naweka juice mimi ni mdau wa fresh juice

Kikubwa napenda sana misosi ya kupika home fresh

Huko kwenye vibabda vya mama ntilie tunakishwaga sana makorokocho na maexpaya [emoji1787]
Vip kuhusu gharama za umeme...


Mimi mwenyew natamani mafriji,blender nk lakin umeme ni mkubwa sana

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom