Hii n nzuri sana kwa sie wavivu wa kupikaWikiendi nikiwa free nachemsha maharage kilo mbili ,nyama kilo 3/4 hivi kuna visado naweka humo hayo makitu yanakaa kwenye freezer
Kazi yangu ni kusaga nyanya na brenda na kukata vitunguu ,hoho na karoti naunga mboga zangu safi nakuka wali au ugali .
Freezer naweka juice mimi ni mdau wa fresh juice
Kikubwa napenda sana misosi ya kupika home fresh
Huko kwenye vibabda vya mama ntilie tunakishwaga sana makorokocho na maexpaya [emoji1787]
Freezer inawaka kuanzia saa 12 jioni hadi 12 asubuhiVip kuhusu gharama za umeme...
Mimi mwenyew natamani mafriji,blender nk lakin umeme ni mkubwa sana
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Huyu anatuharibia uzi hazina dhima.na muktadha wa uziUnaenda nje ya mada
Nimeshangaa sababu 85% waliochangia huu uzi ni ME alaf yeye anakuja anatafuta wanawake humuHuyu anatuharibia uzi hazina dhima.na muktadha wa uzi
Hio comment yake ilipaswa iwe kule kwa masihara
Hahahahah safi homemade fresh food
Usafiri hadi dit ukoje?Kapangea manzese midizini au kwa mfugambwa utapata room kali sana
Nakushauri....kakae magomeni....usafiri ni rahisi sh. 400 tu au 300 ukiomba....gari ni za uhakika...Manzese uswazi mwingi na vibaka kama wote....Usafiri hadi dit ukoje?
Je pana mazingira ya utulivu?Isije kua kila siku vigodoro nikashindwa kusoma
Pacha unabania watu riziki...sasa mimi nakukaribisha wewe uje upajue kwa pacha ako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ooooh wee haya tyuuh, utafanywa msimbe soon.
Hebu nambie unataka kias gan uanze ghetto lako. Uwiiiiiih
NiceMy best thread ever....Nilikuwa inspired na huu uzi na kuingia rasmi getto 2020....Nilianzia chini kabisaaa ile hata huna sabufa...Nikapambana nikasimama hadi leo 2022 nasimama kwa confidence yote nikisema ASANTE MUNGU.....Nitaleta picha za getto langu kwa sasa hivi na story fupi kwa ajili ya hamasa....Best wishes kwa wapambanaji wote wanaotamani kuwa na getto....miaka 2 iliyopita nilikuwa kama nyie...God Bless [emoji2969][emoji120][emoji110]
Sahihi broKila lakheri mkuu..vinatosha hivyo
Daladala za kupanda zimeandikwaje hapo magomeni kwenda dit?Nakushauri....kakae magomeni....usafiri ni rahisi sh. 400 tu au 300 ukiomba....gari ni za uhakika...Manzese uswazi mwingi na vibaka kama wote....
Kuna vtu vingne sio vya kuuliza hapa asee unajichoresha kwamba ww n mgeni wa hili jiji. Yaan unashndwa hata kusimama hapo ktuoni ukamuuliza mtu yyte gari za DIT. sasa kwa dzaini hii utapaweza DIT kweli?? Maana CAT 1 tu unapewa website afu unaambiwa utafute source code. Sasa kama unashndwa hata kutambua gari za DIT, je would u be able to find source code??Daladala za kupanda zimeandikwaje hapo magomeni kwenda dit?
Mkuu Mimi siishi magomeni japo nipo dar,nina mpango wa kupanga hapo baadae kwa kua mmeniambia magomeni,nataka kujua usafiri ukoje ili nipate uhakika wa kuepuka kero za usafiri.Ningekua nakaa magomeni ningeulizia kituoni mkuu.Kuna vtu vingne sio vya kuuliza hapa asee unajichoresha kwamba ww n mgeni wa hili jiji. Yaan unashndwa hata kusimama hapo ktuoni ukamuuliza mtu yyte gari za DIT. sasa kwa dzaini hii utapaweza DIT kweli?? Maana CAT 1 tu unapewa website afu unaambiwa utafute source code. Sasa kama unashndwa hata kutambua gari za DIT, je would u be able to find source code??
Ungemwelekeza tu mkuu umeshaelewa ni mgeni ilikuwa haina haja ya maneno mengi.Kuna vtu vingne sio vya kuuliza hapa asee unajichoresha kwamba ww n mgeni wa hili jiji. Yaan unashndwa hata kusimama hapo ktuoni ukamuuliza mtu yyte gari za DIT. sasa kwa dzaini hii utapaweza DIT kweli?? Maana CAT 1 tu unapewa website afu unaambiwa utafute source code. Sasa kama unashndwa hata kutambua gari za DIT, je would u be able to find source code??
Kama utakaa magomeni panda gari za posta zinazotokea makumbusho ni za rangi nyekundu tu nauli ukianzi a magomen muda mwingine ni 300 ila official ni 400 kituo shuka akiba maan dit pale kituo kilichopo ni cha mwendokasi au laa shuka kituo cha nyuma yake sikumbuki kinaitwaje.Mkuu Mimi siishi magomeni japo nipo dar,nina mpango wa kupanga hapo baadae kwa kua mmeniambia magomeni,nataka kujua usafiri ukoje ili nipate uhakika wa kuepuka kero za usafiri.Ningekua nakaa magomeni ningeulizia kituoni mkuu.
Shukrani mkuuKama utakaa magomeni panda gari za posta zinazotokea makumbusho ni za rangi nyekundu tu nauli ukianzi a magomen muda mwingine ni 300 ila official ni 400 kituo shuka akiba maan dit pale kituo kilichopo ni cha mwendokasi au laa shuka kituo cha nyuma yake sikumbuki kinaitwaje.
NB:nmekutajia rangi hiyo kwa maana kama ukipata chumba maeneo ya shekilango hadi urafiki uwa kuna gari zina rangi ya njano nazo za makumbusho-posta hzo uwa zinapita mabibo mpk kigogo usizipande hzo
Achana na hzo mambo za shukran buddah nenda kapige book ukijichanganya jiji litakuchanganya zaidi..Shukrani mkuu
NakubaliAchana na hzo mambo za shukran buddah nenda kapige book ukijichanganya jiji litakuchanganya zaidi..