King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Hii n nzuri sana kwa sie wavivu wa kupikaWikiendi nikiwa free nachemsha maharage kilo mbili ,nyama kilo 3/4 hivi kuna visado naweka humo hayo makitu yanakaa kwenye freezer
Kazi yangu ni kusaga nyanya na brenda na kukata vitunguu ,hoho na karoti naunga mboga zangu safi nakuka wali au ugali .
Freezer naweka juice mimi ni mdau wa fresh juice
Kikubwa napenda sana misosi ya kupika home fresh
Huko kwenye vibabda vya mama ntilie tunakishwaga sana makorokocho na maexpaya [emoji1787]