Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wikiendi nikiwa free nachemsha maharage kilo mbili ,nyama kilo 3/4 hivi kuna visado naweka humo hayo makitu yanakaa kwenye freezer

Kazi yangu ni kusaga nyanya na brenda na kukata vitunguu ,hoho na karoti naunga mboga zangu safi nakuka wali au ugali .

Freezer naweka juice mimi ni mdau wa fresh juice

Kikubwa napenda sana misosi ya kupika home fresh

Huko kwenye vibabda vya mama ntilie tunakishwaga sana makorokocho na maexpaya [emoji1787]
Hii n nzuri sana kwa sie wavivu wa kupika
 
Vip kuhusu gharama za umeme...

Mimi mwenyew natamani mafriji,blender nk lakin umeme ni mkubwa sana

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Freezer inawaka kuanzia saa 12 jioni hadi 12 asubuhi

Mchana nazima vitu viyeyuke viliwe [emoji2]

Halafu unadhani nasaga na brenda daily

Mi nikipika msosi ni mwingi sana

Hapa nataka nipate microwave tu nimemaliza kazi ni mwendo wakupasha tu viporo[emoji2]

Kimsingi sipendi kupika wala kuosha vyombo ila sina jins coz sipendi kula sana kitaa na mke sina
 
Natafuta geto, mitaa ya tabata, single room.. offer yangu kuanzia 25k - 40k.. chumba kiwe kikubwa na cealing board
 
My best thread ever....Nilikuwa inspired na huu uzi na kuingia rasmi getto 2020....Nilianzia chini kabisaaa ile hata huna sabufa...Nikapambana nikasimama hadi leo 2022 nasimama kwa confidence yote nikisema ASANTE MUNGU.....Nitaleta picha za getto langu kwa sasa hivi na story fupi kwa ajili ya hamasa....Best wishes kwa wapambanaji wote wanaotamani kuwa na getto....miaka 2 iliyopita nilikuwa kama nyie...God Bless 🤲🙏✊
 
My best thread ever....Nilikuwa inspired na huu uzi na kuingia rasmi getto 2020....Nilianzia chini kabisaaa ile hata huna sabufa...Nikapambana nikasimama hadi leo 2022 nasimama kwa confidence yote nikisema ASANTE MUNGU.....Nitaleta picha za getto langu kwa sasa hivi na story fupi kwa ajili ya hamasa....Best wishes kwa wapambanaji wote wanaotamani kuwa na getto....miaka 2 iliyopita nilikuwa kama nyie...God Bless [emoji2969][emoji120][emoji110]
Nice
 
Daladala za kupanda zimeandikwaje hapo magomeni kwenda dit?
Kuna vtu vingne sio vya kuuliza hapa asee unajichoresha kwamba ww n mgeni wa hili jiji. Yaan unashndwa hata kusimama hapo ktuoni ukamuuliza mtu yyte gari za DIT. sasa kwa dzaini hii utapaweza DIT kweli?? Maana CAT 1 tu unapewa website afu unaambiwa utafute source code. Sasa kama unashndwa hata kutambua gari za DIT, je would u be able to find source code??
 
Mkuu Mimi siishi magomeni japo nipo dar,nina mpango wa kupanga hapo baadae kwa kua mmeniambia magomeni,nataka kujua usafiri ukoje ili nipate uhakika wa kuepuka kero za usafiri.Ningekua nakaa magomeni ningeulizia kituoni mkuu.
 
Ungemwelekeza tu mkuu umeshaelewa ni mgeni ilikuwa haina haja ya maneno mengi.
 
Mkuu Mimi siishi magomeni japo nipo dar,nina mpango wa kupanga hapo baadae kwa kua mmeniambia magomeni,nataka kujua usafiri ukoje ili nipate uhakika wa kuepuka kero za usafiri.Ningekua nakaa magomeni ningeulizia kituoni mkuu.
Kama utakaa magomeni panda gari za posta zinazotokea makumbusho ni za rangi nyekundu tu nauli ukianzi a magomen muda mwingine ni 300 ila official ni 400 kituo shuka akiba maan dit pale kituo kilichopo ni cha mwendokasi au laa shuka kituo cha nyuma yake sikumbuki kinaitwaje.

NB:nmekutajia rangi hiyo kwa maana kama ukipata chumba maeneo ya shekilango hadi urafiki uwa kuna gari zina rangi ya njano nazo za makumbusho-posta hzo uwa zinapita mabibo mpk kigogo usizipande hzo
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom