Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Tatizo huwa mnakimbia ukimkuta mdada ana geto la uhakika. .
Hahaha sasa lazma uwogope..mimi nakumbuka wakt nipo 3rd year..nikaenda kwa manzi wa 1st year nikakuta yupo full geto kwake...ikabid niogope [emoji16][emoji16]
 
Nilianza na godoro tuu 6/8 inch 10 ambalo nililichongesha Moja kwa moja kutoka Kiwandani since kitanda kikubwa ni ugonjwa wangu....sikua na bakuri wala kijiko....nilikua namiliki smartphone... Nguo zangu na mashuka ma4 baas
 
Huu uzi unatia sana hamasa ya kupambana, mimi nilianza kukaa gheto nilipoanza chuo. Sasa mwakani namaliza masomo. Mshua amenambia nikimaliza nirudi nyumbani anianzishie mradi wakati nasubiri ajira. Ila nimeshapanga kumsaliti, nikimaliza sirudi ng'o. Hapa nahaha kutafuta deals za kuniingizia mkwanja.

Ukirudi tu home umeliwa mkuu [emoji23][emoji23]
 
Nilianza na godoro tuu 6/8 inch 10 ambalo nililichongesha Moja kwa moja kutoka Kiwandani since kitanda kikubwa ni ugonjwa wangu....sikua na bakuri wala kijiko....nilikua namiliki smartphone... Nguo zangu na mashuka ma4 baas
Hahah ulkua mbish sana..so hop saiz kuna kila kitu mkuu
 
Huu uzi unatia sana hamasa ya kupambana, mimi nilianza kukaa gheto nilipoanza chuo. Sasa mwakani namaliza masomo. Mshua amenambia nikimaliza nirudi nyumbani anianzishie mradi wakati nasubiri ajira. Ila nimeshapanga kumsaliti, nikimaliza sirudi ng'o. Hapa nahaha kutafuta deals za kuniingizia mkwanja.
Hahaha mshua kaweka mipango kama yote...huyo wakumkataa tu mkuu..homboy jau[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom