Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ghetto kwangu butiama mkuu tubadilishane uzoefuSiwezi mwaga mchele kwenye kuku wengi
Kumbe wapo wanaume wanao appreciate!Mwanamke anayekaa geto lake bila ya utegemezi wa wazazi/bwana wake huwa namuappreciate sana
Tatizo huwa mnakimbia ukimkuta mdada ana geto la uhakika. .Hahah salute sana...inatiaga aibu sana..mdada ana geto alaf ukijichek mzee baba upo kwa mama[emoji16][emoji16]...big up sana
Kwel mkuu...nmeshajifunza..hop wengne watakua wamejifunza hili kosa.
Hapo kweli otherwise familia yake iwe na uwezo 😆Hahaha sasa lazma uwogope..mimi nakumbuka wakt nipo 3rd year..nikaenda kwa manzi wa 1st year nikakuta yupo full geto kwake...ikabid niogope [emoji16][emoji16]
Huu uzi unatia sana hamasa ya kupambana, mimi nilianza kukaa gheto nilipoanza chuo. Sasa mwakani namaliza masomo. Mshua amenambia nikimaliza nirudi nyumbani anianzishie mradi wakati nasubiri ajira. Ila nimeshapanga kumsaliti, nikimaliza sirudi ng'o. Hapa nahaha kutafuta deals za kuniingizia mkwanja.
Hahah ulkua mbish sana..so hop saiz kuna kila kitu mkuuNilianza na godoro tuu 6/8 inch 10 ambalo nililichongesha Moja kwa moja kutoka Kiwandani since kitanda kikubwa ni ugonjwa wangu....sikua na bakuri wala kijiko....nilikua namiliki smartphone... Nguo zangu na mashuka ma4 baas
Hahaha mshua kaweka mipango kama yote...huyo wakumkataa tu mkuu..homboy jau[emoji3][emoji3]Huu uzi unatia sana hamasa ya kupambana, mimi nilianza kukaa gheto nilipoanza chuo. Sasa mwakani namaliza masomo. Mshua amenambia nikimaliza nirudi nyumbani anianzishie mradi wakati nasubiri ajira. Ila nimeshapanga kumsaliti, nikimaliza sirudi ng'o. Hapa nahaha kutafuta deals za kuniingizia mkwanja.
😀😀😀 nishazoea kukaa kwa uhuru halafu nirudi maskani tena!!, Mungu aepushie mbali aisee..Ukirudi tu home umeliwa mkuu [emoji23][emoji23]