Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

bajeti yangu mgahawani
asubuhi 1000
mchana 1500
usiku 1500

jumla 4000 ×30

ila

getto nilichukua 40k nikanunua mchele,mafuta ,unga,samaki wa buku mbil nakula mara 3 au 2,nikibadili ni nyama

nilikuja kupiga tathmin mgahawan pesa kibao inatembea trust me.

location :katoro (huku 40k unapata chumba na sebule full tiles halafu kipana sana[emoji3][emoji3])


ushauri .GETTO NI KUJINYIMA WAZEE hasa ukiwa unaanza
Katoro ya Geita?
 
Kumbe pacha wee n mvivu hivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Pacha mi sio mvivu ila kuosha vyombo ni kitu kinanipaga wakati mgumu sana...kuna gesi yangu niliinunua mwaka jana mwezi wa 7. Hadi leo bado ipo Full...nakumbuka nimewahi kuchemshia chai mara mbili tu....Sometimes natamani niiuze ila nafsi inanambia acha kuuza....Pacha ako atakuja siku moja umpikie dikodiko la nguvu....nabaki kusubiri
 
Pole kama unakula kwa mama Ntilie
IMG_20220305_152340.jpg
 
Ila kwa mama ntilie na kupika Bora mama ntilie nafuu kuliko kupika labda kwenye kushiba ila sio kwa nafuu
 
Back
Top Bottom