Wakuu Kwema ?
Kwa experience yangu ndogo ya kukaa gheto, kama unajipikia mwenyewe gharama itakuwa juu, labda uwe unapika kingi unahifadhi jokofuni. Unless muwe zaidi ya mmoja ndani. Ila ni bora kuliko nyumbani, utalemaa akili
Inahitaji ujasiri na commitment kweli, maana wengine bi wakubwa ndo wanataka uendelee kukaa nao[emoji23]
Kuna rafiki yangu mmoja mama yake alijifanya mpk anaumwa akaenda kulazwa kabisa kwamba presha imepanda baada ya jamaa kuamua kuondoka home[emoji23], na jamaa akakaza hivyo hivyo mwaka wa tatu saivi mama keshazoea na jamaa kaoa last year
Anyway,
Hivi nyumba ya vyumba viwili na sebule kwa laki 2 inayojitegemea, ukiachana na maeneo ya kimara mpk mbezi mwisho au na pasiwe uswazi sana.. nyumba ya namna hiyo mtu unaweza kupata mitaa ya wapi ? Naomba usaidizi katika hili wakulungwa… bila dalali lakini[emoji16]