Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

WANA MAISHA LAZIMA YAENDELEE NA MAGHATTO LAZIMA YAENDELEE.

Nawasalimu katika jina la maghetto.

Mabroo na machalii nataka nishushe thread moja kuhusu maisha ya upambanaji, nafikiri itakua jioni ndo mda nzuri. Naamini inaweza kua isparational kwa wenzangu tuliosoma na hatukupata ajira na tukaamua kujiongeza wenyewe.
Pia kwa wale ambao hawana ajira rasmi yaan leo yupo huku, kesho yupo huku. Lkn life linaendelea.
 
Subscribed boss
Nasubili
 
Subscribed Mkuu
 
Wakati nausoma huu uzi nilikuwa home sina chochote ila kazi nafanya (mishemishe) nikasema sio mbaya nikatoka nyumba kubwa nikaenda chumba cha nje nikaanza kuishi kama gheto hapo akili inawaza kulijaza kweli bhana sasa nina kila kinachotakiwa gheto na ni vya kwangu huu mwaka nawekeza kodi na akiba nahama na vitu vyangu.

View attachment 2145200
Aisee big up sana..nmependa hyo setup Hapo [emoji91][emoji91]
 
WANA MAISHA LAZIMA YAENDELEE NA MAGHATTO LAZIMA YAENDELEE.

Nawasalimu katika jina la maghetto.

Mabroo na machalii nataka nishushe thread moja kuhusu maisha ya upambanaji, nafikiri itakua jioni ndo mda nzuri. Naamini inaweza kua isparational kwa wenzangu tuliosoma na hatukupata ajira na tukaamua kujiongeza wenyewe.
Pia kwa wale ambao hawana ajira rasmi yaan leo yupo huku, kesho yupo huku. Lkn life linaendelea.
Tunasubiri mkuu
 
Wakati nausoma huu uzi nilikuwa home sina chochote ila kazi nafanya (mishemishe) nikasema sio mbaya nikatoka nyumba kubwa nikaenda chumba cha nje nikaanza kuishi kama gheto hapo akili inawaza kulijaza kweli bhana sasa nina kila kinachotakiwa gheto na ni vya kwangu huu mwaka nawekeza kodi na akiba nahama na vitu vyangu.

View attachment 2145200
Mkuu nimependa hio showcase materia ya hizo mbao yapoje naweza pata picha inayonekana vizuri ?
 
Wakati nausoma huu uzi nilikuwa home sina chochote ila kazi nafanya (mishemishe) nikasema sio mbaya nikatoka nyumba kubwa nikaenda chumba cha nje nikaanza kuishi kama gheto hapo akili inawaza kulijaza kweli bhana sasa nina kila kinachotakiwa gheto na ni vya kwangu huu mwaka nawekeza kodi na akiba nahama na vitu vyangu.

View attachment 2145200
Hongera sanaaa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Kwema ?

Kwa experience yangu ndogo ya kukaa gheto, kama unajipikia mwenyewe gharama itakuwa juu, labda uwe unapika kingi unahifadhi jokofuni. Unless muwe zaidi ya mmoja ndani. Ila ni bora kuliko nyumbani, utalemaa akili

Inahitaji ujasiri na commitment kweli, maana wengine bi wakubwa ndo wanataka uendelee kukaa nao[emoji23]
Kuna rafiki yangu mmoja mama yake alijifanya mpk anaumwa akaenda kulazwa kabisa kwamba presha imepanda baada ya jamaa kuamua kuondoka home[emoji23], na jamaa akakaza hivyo hivyo mwaka wa tatu saivi mama keshazoea na jamaa kaoa last year

Anyway,

Hivi nyumba ya vyumba viwili na sebule kwa laki 2 inayojitegemea, ukiachana na maeneo ya kimara mpk mbezi mwisho au na pasiwe uswazi sana.. nyumba ya namna hiyo mtu unaweza kupata mitaa ya wapi ? Naomba usaidizi katika hili wakulungwa… bila dalali lakini[emoji16]
 
Kwenye kupika hapo nakupinga.
Kujipikia kuna save gharama kubwa sana mkuu. Nina experience.
Unga wa buku yaani kilo moja napika ugali mara tatu.
Kuhemea vitu sokoni kama mbogamboga na viungo kunasave sana kuliko kula mgahawani.
Karibuni kuchangia au kunikosoa Wangari Maathai Zero IQ nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Kwema ?

Kwa experience yangu ndogo ya kukaa gheto, kama unajipikia mwenyewe gharama itakuwa juu, labda uwe unapika kingi unahifadhi jokofuni. Unless muwe zaidi ya mmoja ndani. Ila ni bora kuliko nyumbani, utalemaa akili

Inahitaji ujasiri na commitment kweli, maana wengine bi wakubwa ndo wanataka uendelee kukaa nao[emoji23]
Kuna rafiki yangu mmoja mama yake alijifanya mpk anaumwa akaenda kulazwa kabisa kwamba presha imepanda baada ya jamaa kuamua kuondoka home[emoji23], na jamaa akakaza hivyo hivyo mwaka wa tatu saivi mama keshazoea na jamaa kaoa last year

Anyway,

Hivi nyumba ya vyumba viwili na sebule kwa laki 2 inayojitegemea, ukiachana na maeneo ya kimara mpk mbezi mwisho au na pasiwe uswazi sana.. nyumba ya namna hiyo mtu unaweza kupata mitaa ya wapi ? Naomba usaidizi katika hili wakulungwa… bila dalali lakini[emoji16]
Bila dalali sio mchezo,angalia goba kule nyumba zipo mpya nyingi sana Bei kitonga
 
Uko sahihi mkuu,bila shaka mkuu hapo juu ni mviv kupika [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]hamna chief, mfano wali nyama na ndondo wa buku 2500 kwa mgahawanj kwa kupika mwenyewe gharama zitazidi tu.

Babu ukianza na Mchele , plus mafuta, nyama na ndondo, viungo sijui nyanya na wenzake wakina vitunguu nk shilling ngapi mpk hapo ?
Bado hujaja umeme au gesi, plus na muda wako wa kusubiri kuivisha.
Ndo maana nasema ukiwa mwenyewe kama huna fridge la kuhifadhi chakula kingi,kupika gharama ni kubwa zaidi mzee kuliko kula mgahawanj chakula cha aina moja. Labda ugonge tu ugali na dagaa chukuchuku
 
Back
Top Bottom