Ulianzaje kukaa gheto?

Katoro ya Geita?
 
Kumbe pacha wee n mvivu hivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Pacha mi sio mvivu ila kuosha vyombo ni kitu kinanipaga wakati mgumu sana...kuna gesi yangu niliinunua mwaka jana mwezi wa 7. Hadi leo bado ipo Full...nakumbuka nimewahi kuchemshia chai mara mbili tu....Sometimes natamani niiuze ila nafsi inanambia acha kuuza....Pacha ako atakuja siku moja umpikie dikodiko la nguvu....nabaki kusubiri
 
Ila kwa mama ntilie na kupika Bora mama ntilie nafuu kuliko kupika labda kwenye kushiba ila sio kwa nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…