Taratibu as long as smart ipo, jitahidi bando nalo liwepo.Geto langu, bado jeupe, sina Tv wala radio, yani very bored, nikiwa sina bundle ndio mbaya zaidi,
Aseee 40k chumba sebure? Ni mkoa gani uo [emoji2]bajeti yangu mgahawani
asubuhi 1000
mchana 1500
usiku 1500
jumla 4000 ×30
ila
getto nilichukua 40k nikanunua mchele,mafuta ,unga,samaki wa buku mbil nakula mara 3 au 2,nikibadili ni nyama
nilikuja kupiga tathmin mgahawan pesa kibao inatembea trust me.
location :katoro (huku 40k unapata chumba na sebule full tiles halafu kipana sana[emoji3][emoji3])
ushauri .GETTO NI KUJINYIMA WAZEE hasa ukiwa unaanza
Hiyo ni zaidi ya transformation [emoji23][emoji23][emoji23]NILIPOKUWA KWA WAZAZI (demu vs wahuni )
hello,
mbona kmya,
hello
nimekumic
mbona hujibu text zangu
mbona unanizungusha nikiomba tukutane
hello tukutane bondeni
mbona hufiki
nikute hapa kona kama unaelekea mtoni
oya wahuni msije saiv mshua yupo
oya mida mi naenda home
SAIV GETTO (text za demu)
mamb,upo nije[emoji3]
niandalie nguo kesho nakuja kukufulia
nipo njian nikuletee nini[emoji3]
nataka nije kufanya usafi
usipike nakuja[emoji3]
SAIV GETTO (text za wahuni wangu)
oya man lile dili limetiki vipi upo getto tukuletee mpunga au
oya kudadek nimekuletea pesa yako haupo
oi upo getto tunakupitia twende mazoezini
oi wapi hapo ,mzigo umefika sema bei imeshuka tutapa faida kidogo
MTOTO WA MWENYE NYUMBA (wanaishi jirani)
hello
mic you kingkongtz[emoji3]
upo free nije [emoji3][emoji3]
usipike nmekutunzia chakula
GETTO kuna raha yake
kula mbususu pia hakuepukik ila kuwa makin tu
Mkuu hilo jani la boga auPole kama unakula kwa mama NtilieView attachment 2153769
Ngoja nijichange tu mkuu, nivute kitu cha maana.. Nikununua nime nunua...Ado ado mkuu...hapo tafuta hata Bluetooth speaker zile unakula ngoma tu
Exactly [emoji1]Mkuu hilo jani la boga au
Kaka taratibu taratibu, mambo yatanyooka.Nina mwez mmoja tangu nianze maisha gheto, i bealive after one year letter, nitakuwa mbali..
😃😃😂Breakfast ya getoView attachment 2155442
Naona maji marefuuu pembeni👍