Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Geto langu, bado jeupe, sina Tv wala radio, yani very bored, nikiwa sina bundle ndio mbaya zaidi,
Taratibu as long as smart ipo, jitahidi bando nalo liwepo.

Mimi nlivopata idea ya kutoka hom, kabla hata sijapata chumba, nlinunua sea piano Sp 661...
Baadae ndo nkajitupa nkanunua mazaga yote kwa mkupuo baada ya kupata chumba.

Geto raha sana.....
 
bajeti yangu mgahawani
asubuhi 1000
mchana 1500
usiku 1500

jumla 4000 ×30

ila

getto nilichukua 40k nikanunua mchele,mafuta ,unga,samaki wa buku mbil nakula mara 3 au 2,nikibadili ni nyama

nilikuja kupiga tathmin mgahawan pesa kibao inatembea trust me.

location :katoro (huku 40k unapata chumba na sebule full tiles halafu kipana sana[emoji3][emoji3])


ushauri .GETTO NI KUJINYIMA WAZEE hasa ukiwa unaanza
Aseee 40k chumba sebure? Ni mkoa gani uo [emoji2]
 
NILIPOKUWA KWA WAZAZI (demu vs wahuni )

hello,
mbona kmya,
hello
nimekumic
mbona hujibu text zangu
mbona unanizungusha nikiomba tukutane
hello tukutane bondeni
mbona hufiki
nikute hapa kona kama unaelekea mtoni
oya wahuni msije saiv mshua yupo
oya mida mi naenda home



SAIV GETTO (text za demu)

mamb,upo nije[emoji3]
niandalie nguo kesho nakuja kukufulia
nipo njian nikuletee nini[emoji3]
nataka nije kufanya usafi
usipike nakuja[emoji3]

SAIV GETTO (text za wahuni wangu)

oya man lile dili limetiki vipi upo getto tukuletee mpunga au
oya kudadek nimekuletea pesa yako haupo
oi upo getto tunakupitia twende mazoezini
oi wapi hapo ,mzigo umefika sema bei imeshuka tutapa faida kidogo

MTOTO WA MWENYE NYUMBA (wanaishi jirani)

hello
mic you kingkongtz[emoji3]
upo free nije [emoji3][emoji3]
usipike nmekutunzia chakula



GETTO kuna raha yake
kula mbususu pia hakuepukik ila kuwa makin tu
Hiyo ni zaidi ya transformation [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Breakfast ya geto
IMG_20220318_112203.jpg
 
Back
Top Bottom