Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
ha ha ha maji ya bardiiii ,Naona maji marefuuu pembeni[emoji106]
ha ha ha umejuaje mzee?Dairektii attack mpk ucku iyo
[emoji2][emoji2][emoji23]
"kitanda cha kulalia sina nawaza kununua kabati ..hii akili au matope.."[emoji4] anza na bufa
[emoji4] matope."kitanda cha kulalia sina nawaza kununua kabati ..hii akili au matope.."
Kama unawajua mabaga fresh utanielewa [emoji1787]
Yaani gheto jeupe kabjsa aanze kununua sabufa
Hii akili au matope[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
Pacha wala hutonipikia, ntapika mwenyew hilo dikodiko na masapta sapta ya kushato. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pacha mi sio mvivu ila kuosha vyombo ni kitu kinanipaga wakati mgumu sana...kuna gesi yangu niliinunua mwaka jana mwezi wa 7. Hadi leo bado ipo Full...nakumbuka nimewahi kuchemshia chai mara mbili tu....Sometimes natamani niiuze ila nafsi inanambia acha kuuza....Pacha ako atakuja siku moja umpikie dikodiko la nguvu....nabaki kusubiri
Hutapiki? Nimejisikia kichefu chefu, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Breakfast ya getoView attachment 2155442
Nakubali mwamba.....naona nikitoka hapa ninunue kiwanja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Well done mkuu...safar moja huanzisha nyingne kikubwa geto tu
sijakuelewa mkuu....Dm ????Ila hujawah eka dm
kwanini?Hutapiki? Nimejisikia kichefu chefu, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pacha unafeli....kila siku ahadi tele ila huonekaniPacha wala hutonipikia, ntapika mwenyew hilo dikodiko na masapta sapta ya kushato. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwel gharama nazid iyo 2500 Lakin utapata msos mwngi na nyama nyingi mana mgahawan utapata Vipande vitatu vya nyama[emoji23][emoji23][emoji23]hamna chief, mfano wali nyama na ndondo wa buku 2500 kwa mgahawanj kwa kupika mwenyewe gharama zitazidi tu.
Babu ukianza na Mchele , plus mafuta, nyama na ndondo, viungo sijui nyanya na wenzake wakina vitunguu nk shilling ngapi mpk hapo ?
Bado hujaja umeme au gesi, plus na muda wako wa kusubiri kuivisha.
Ndo maana nasema ukiwa mwenyewe kama huna fridge la kuhifadhi chakula kingi,kupika gharama ni kubwa zaidi mzee kuliko kula mgahawanj chakula cha aina moja. Labda ugonge tu ugali na dagaa chukuchuku
[emoji28][emoji28]Na zaidi ukinunua hivyo vitu utapika chakula cha kutosha utashiba sana na unaweza kukipa siku nzima ila sahani ha buku 2 hutoshiba au utashi a halafu ukovuka kizingiti cha mgahawa unaanza hisi njaa[emoji2]
Mzee inategemeana na mitikasi yako.UKIWA UNA KAA GHETO AFU HUNA MADEMU WANAOELEWEKA,,,,, UTAKUWA MTUMWA WA PUNYETO ASEEEEEE,,,,,,,,. USHAURI BI4. HUJAPANGA GETO AT LEAST ISHI NA KUWA NA MADEMU WANAOELEWEKA. HATA KAMA UKIWAAMVIA ***** NJOO GETO TUPONGE ANAKUJA WITHOUT MINONG'ONOOOOO
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa ataliwa puru au@rikiboy
Mkuu jifunze tu kupika vizuri.Leo, geto nimepika wali, aiseee, umetoka kama ugali, nashawishika kukaa na mwanamke
Safi sanaPole kama unakula kwa mama NtilieView attachment 2153769
Uko sahihi,mimi haya huwa nayachanganya na viungo kiasi.Yaaani hakuna haja ya kuumiza kichwa saaaana
[emoji2][emoji2][emoji2] mvurugoUko sahihi,mimi haya huwa nayachanganya na viungo kiasi.