Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

"kitanda cha kulalia sina nawaza kununua kabati ..hii akili au matope.."

Kama unawajua mabaga fresh utanielewa [emoji1787]

Yaani gheto jeupe kabjsa aanze kununua sabufa

Hii akili au matope[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
[emoji4] matope.
 
Pacha mi sio mvivu ila kuosha vyombo ni kitu kinanipaga wakati mgumu sana...kuna gesi yangu niliinunua mwaka jana mwezi wa 7. Hadi leo bado ipo Full...nakumbuka nimewahi kuchemshia chai mara mbili tu....Sometimes natamani niiuze ila nafsi inanambia acha kuuza....Pacha ako atakuja siku moja umpikie dikodiko la nguvu....nabaki kusubiri
Pacha wala hutonipikia, ntapika mwenyew hilo dikodiko na masapta sapta ya kushato. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hamna chief, mfano wali nyama na ndondo wa buku 2500 kwa mgahawanj kwa kupika mwenyewe gharama zitazidi tu.

Babu ukianza na Mchele , plus mafuta, nyama na ndondo, viungo sijui nyanya na wenzake wakina vitunguu nk shilling ngapi mpk hapo ?
Bado hujaja umeme au gesi, plus na muda wako wa kusubiri kuivisha.
Ndo maana nasema ukiwa mwenyewe kama huna fridge la kuhifadhi chakula kingi,kupika gharama ni kubwa zaidi mzee kuliko kula mgahawanj chakula cha aina moja. Labda ugonge tu ugali na dagaa chukuchuku
Ni kwel gharama nazid iyo 2500 Lakin utapata msos mwngi na nyama nyingi mana mgahawan utapata Vipande vitatu vya nyama
 
Na zaidi ukinunua hivyo vitu utapika chakula cha kutosha utashiba sana na unaweza kukipa siku nzima ila sahani ha buku 2 hutoshiba au utashi a halafu ukovuka kizingiti cha mgahawa unaanza hisi njaa[emoji2]
[emoji28][emoji28]
 
UKIWA UNA KAA GHETO AFU HUNA MADEMU WANAOELEWEKA,,,,, UTAKUWA MTUMWA WA PUNYETO ASEEEEEE,,,,,,,,. USHAURI BI4. HUJAPANGA GETO AT LEAST ISHI NA KUWA NA MADEMU WANAOELEWEKA. HATA KAMA UKIWAAMVIA ***** NJOO GETO TUPONGE ANAKUJA WITHOUT MINONG'ONOOOOO
Mzee inategemeana na mitikasi yako.
 
IMG_6897.jpg

Heavy bass[emoji18]
 
Back
Top Bottom