Ulianzaje kukaa gheto?

Huu mziki mnene, sema kipengele ni baadhi ya subwoofer njaa haziwashi, maana speaker huwa ina nguvu kuliko bufa yenyewe. Kuna speaker moja nilipata ilikuwa super sana, ila subwoofer ikafeli kuconnect, ikabidi nimpe mwanangu mmoja hv alikuwa na redio hizi za mtumba, basi akaunga maisha yakaendelea mpaka leo hii anaenjoy mziki mnene
 

Mziki nasuka mwenyewe mkuu
Subwoofer haiwez push hi speaker mzee yan Hata kidogo
 
2015 mwezi wa 9 dadeki naanza life songea chumba nilijichanganya nilipanga self 25000 godoro mbili na nusu kwa sita nanilikuwa nimelitupachini sikuwa hata nachombo chochote zaidi ya kismart phone changu tecno M3 lakini saivi mambo kwenye mstariii mwanzo haujawahi kuwa mrahisi[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 

Mwanzo mgumu sana
 
From [mention]yohanesy [/mention] mwanzo haujawah kua rahisi!!
Kila kitu ni hatua kwa hatua
Pili lazima uwe na Target
Kua nataka ninunue kitu furani
Uliza bei ili ujue unajipangaje,kisha anza kuweka kidogo kidogo,kuna wakati itajibi ujinyime wewe mwenyewe
Au pengine ujinyime ili kufikia malengo uliyoyaweka
Kwa utaratibu hu kila utakachokitaka utakipata kwa wakati furani
Na kadri siku zinavyoenda basi tamani kua na vikubwa kuliko vya nyuma,
Sema this time ninunue subwoofer-itakuja tv- ukikamilisha vya surround sema sasa ninunue kiwanja
Kisha waza zaidi na zaidi.....
 
For real mkuu
 
Huu mchanganyiko wa yai na Maharage utakua unajamba sana huko Gym
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…