Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Daaah kitambo sana,Nakumbuka ilikuwa 2013 nilipomaliza tu O-level pale Jitegemee Sec (Mgulani) sikulaza damu nikasepa home nikiwa na 85k tu mfukoni, ambapo 75k ilikuwa ya kodi kwa 3 month na 10k ya umeme then mwanaume nina Godoro tu nililopewa na Bi mkubwa(RIP) sina hata Balbu achilia mbali feni wala bufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]baada ya hapo sikuwahi kurudisha mpira kwa Kipa japo Changamoto zilikuwa nyingi hasa ukizingatia bado nilikuwa Najiendeleza na Shule lakini pia Sikuwa na Mishe ya Uhakika[emoji120][emoji120][emoji120]Allahamdurillah leo ni karibia 10yrs nimekuwa Baba,Mume mbele ya Watu wengine and Still Bado mapambano yanaendelea.

Kama una ndoto ya kuondoka Home na Kujitegemea ina wezekana ikiwa unayo nia ya Dhati,mimi niliumizwa na ile situation ya asubuhi tunaamka nyumba moja na Sisters tunagombea foleni kwenda kuoga pia Home hapakuwa fresh asee,Yaani Bi Maza ndiyo afanye Kila kitu dahh ilikuwa inanipa shida sana nikatamani kuwa huru,hatimaye nikafanya nikiwa na miaka 18 pekee,japo nilipingwa na Familia nikionekana mdogo lakini msimamo ukanisave[emoji120][emoji120][emoji120] wengine wanahamia vyombo wamebeba kwenye Magari,mm nakumbuka nilibeba kwenye Baiskeli tu ya mwana kigodoro changu na ndoo ndogo mbili ndani kukiwa na sufuria mbili na mwiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kajiko ka Mchina (kanatumia mafuta ya taa)Watu walinishangaa sana siku ile.
Aisee umenikumbusha mbali sana

Sisi wengine tumesoma secondary tukiwa tunaishi geto kwahyo hata baada ya kumaliza shule maisha ya geto hayakuwa mapya
 
Daaah kitambo sana,Nakumbuka ilikuwa 2013 nilipomaliza tu O-level pale Jitegemee Sec (Mgulani) sikulaza damu nikasepa home nikiwa na 85k tu mfukoni, ambapo 75k ilikuwa ya kodi kwa 3 month na 10k ya umeme then mwanaume nina Godoro tu nililopewa na Bi mkubwa(RIP) sina hata Balbu achilia mbali feni wala bufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]baada ya hapo sikuwahi kurudisha mpira kwa Kipa japo Changamoto zilikuwa nyingi hasa ukizingatia bado nilikuwa Najiendeleza na Shule lakini pia Sikuwa na Mishe ya Uhakika[emoji120][emoji120][emoji120]Allahamdurillah leo ni karibia 10yrs nimekuwa Baba,Mume mbele ya Watu wengine and Still Bado mapambano yanaendelea.

Kama una ndoto ya kuondoka Home na Kujitegemea ina wezekana ikiwa unayo nia ya Dhati,mimi niliumizwa na ile situation ya asubuhi tunaamka nyumba moja na Sisters tunagombea foleni kwenda kuoga pia Home hapakuwa fresh asee,Yaani Bi Maza ndiyo afanye Kila kitu dahh ilikuwa inanipa shida sana nikatamani kuwa huru,hatimaye nikafanya nikiwa na miaka 18 pekee,japo nilipingwa na Familia nikionekana mdogo lakini msimamo ukanisave[emoji120][emoji120][emoji120] wengine wanahamia vyombo wamebeba kwenye Magari,mm nakumbuka nilibeba kwenye Baiskeli tu ya mwana kigodoro changu na ndoo ndogo mbili ndani kukiwa na sufuria mbili na mwiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kajiko ka Mchina (kanatumia mafuta ya taa)Watu walinishangaa sana siku ile.
Aisee [emoji23] kweli ulijitoa kuhanga ndani ya 18 years, hongera sana kwa kua na familia mkuu
 
Kutoka geto, ugali mkubwa wa dona , mayai mixer maharage, na maji makubwa ya Afya mida mida naingia gym .. Aisee ukiniona nina body lilo jengeka, kwa ajili ya hii misosi ya geto, acheni kula kwa mama ntilie kama unataka kuwa na afya njema.. View attachment 2160604
Kiufupi hujui hata kupika,
Wee hujisikii kichefu chefu, aaaaah.
 
Back
Top Bottom