Ulianzaje kukaa gheto?

nilivo kua chuo nilinunua kalibu kila kitu Cha geto then 2019 baada kumaliza nililud mtaan but sikufikia om nikaamua kupanga.
Om walikataa kabisa suala la mm kupanga but nilisepa bila wao kutaka. So hyo 2019 nikawa nimepanga chumba kimoja 2020 nikapanga chumba na sebule 2021 mwishon nikapanga nyumba nzima vyumba vi 3 vya kulala, sebule, stoo, jiko public toilet na ina fens af naish peke yangu but hata om hawajui nimewezaje kufanya hvo na Sina kipato maalum. Some times watu wa heshima wanakuja kukopa hela kwangu wakijua ninazo but kumbe ndan nina buku tu.
nakushaur Kama kijana kila kitu kinawezakan ukiwa na nia sio mpaka uwe na kazi au kipato maalum weka malengo na usikae kae kinyonge mbele za watu Hadi kila mtu ajue shida zako na Wala usijikweze BE HUMBLE
 
Mlio jenga basi tupeni experience, mlianzaje kujenga, pia maisha ya geto mliyaendeshaje kipindi kipato chako kinapo shuka zaidi.. mambo kama hayo
Binafs sasa iv n kama nmerelax kidogo,kipind nimeanza maisha nilikua sichagui kazi,nilikua na pkpk yangu mbovumbovu,nikipata cement nabeba nikipata vifaa vya ujenz vya kupeleka site nabeba,kikubwa hela iingie,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Mwamba
 
Well said mkuu,hakuna kukaa kizembe..big up sana kiongozi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushapanick sasa,
Kwann usiambiwe ukweli? Lol
Pacha hizi vita unaanzisha mimi unanipa wakati mgumu sana kukugombolezea
 
😁😁😁😁😁 umenikumbusha kitu kimoja....kuna siku nahama naenda kuanzisha getto...nilibeba vitu kwenye toroli 😁😁😁 ila leo Alhamdullilah aiseeee......Mambo sio kama zamani
 
why umepanga nyumba nzima na uko mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…