Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Night mode[emoji42] kodi kulipia mpak mwez wa6, kuamka mpak sa6 wazee[emoji1]
20220323_230405.jpg
 
nilivo kua chuo nilinunua kalibu kila kitu Cha geto then 2019 baada kumaliza nililud mtaan but sikufikia om nikaamua kupanga.
Om walikataa kabisa suala la mm kupanga but nilisepa bila wao kutaka. So hyo 2019 nikawa nimepanga chumba kimoja 2020 nikapanga chumba na sebule 2021 mwishon nikapanga nyumba nzima vyumba vi 3 vya kulala, sebule, stoo, jiko public toilet na ina fens af naish peke yangu but hata om hawajui nimewezaje kufanya hvo na Sina kipato maalum. Some times watu wa heshima wanakuja kukopa hela kwangu wakijua ninazo but kumbe ndan nina buku tu.
nakushaur Kama kijana kila kitu kinawezakan ukiwa na nia sio mpaka uwe na kazi au kipato maalum weka malengo na usikae kae kinyonge mbele za watu Hadi kila mtu ajue shida zako na Wala usijikweze BE HUMBLE
 
Mlio jenga basi tupeni experience, mlianzaje kujenga, pia maisha ya geto mliyaendeshaje kipindi kipato chako kinapo shuka zaidi.. mambo kama hayo
Binafs sasa iv n kama nmerelax kidogo,kipind nimeanza maisha nilikua sichagui kazi,nilikua na pkpk yangu mbovumbovu,nikipata cement nabeba nikipata vifaa vya ujenz vya kupeleka site nabeba,kikubwa hela iingie,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Daaah kitambo sana,Nakumbuka ilikuwa 2013 nilipomaliza tu O-level pale Jitegemee Sec (Mgulani) sikulaza damu nikasepa home nikiwa na 85k tu mfukoni, ambapo 75k ilikuwa ya kodi kwa 3 month na 10k ya umeme then mwanaume nina Godoro tu nililopewa na Bi mkubwa(RIP) sina hata Balbu achilia mbali feni wala bufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]baada ya hapo sikuwahi kurudisha mpira kwa Kipa japo Changamoto zilikuwa nyingi hasa ukizingatia bado nilikuwa Najiendeleza na Shule lakini pia Sikuwa na Mishe ya Uhakika[emoji120][emoji120][emoji120]Allahamdurillah leo ni karibia 10yrs nimekuwa Baba,Mume mbele ya Watu wengine and Still Bado mapambano yanaendelea.

Kama una ndoto ya kuondoka Home na Kujitegemea ina wezekana ikiwa unayo nia ya Dhati,mimi niliumizwa na ile situation ya asubuhi tunaamka nyumba moja na Sisters tunagombea foleni kwenda kuoga pia Home hapakuwa fresh asee,Yaani Bi Maza ndiyo afanye Kila kitu dahh ilikuwa inanipa shida sana nikatamani kuwa huru,hatimaye nikafanya nikiwa na miaka 18 pekee,japo nilipingwa na Familia nikionekana mdogo lakini msimamo ukanisave[emoji120][emoji120][emoji120] wengine wanahamia vyombo wamebeba kwenye Magari,mm nakumbuka nilibeba kwenye Baiskeli tu ya mwana kigodoro changu na ndoo ndogo mbili ndani kukiwa na sufuria mbili na mwiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kajiko ka Mchina (kanatumia mafuta ya taa)Watu walinishangaa sana siku ile.
Wewe ni Mwamba
 
nilivo kua chuo nilinunua kalibu kila kitu Cha geto then 2019 baada kumaliza nililud mtaan but sikufikia om nikaamua kupanga.
Om walikataa kabisa suala la mm kupanga but nilisepa bila wao kutaka. So hyo 2019 nikawa nimepanga chumba kimoja 2020 nikapanga chumba na sebule 2021 mwishon nikapanga nyumba nzima vyumba vi 3 vya kulala, sebule, stoo, jiko public toilet na ina fens af naish peke yangu but hata om hawajui nimewezaje kufanya hvo na Sina kipato maalum. Some times watu wa heshima wanakuja kukopa hela kwangu wakijua ninazo but kumbe ndan nina buku tu.
nakushaur Kama kijana kila kitu kinawezakan ukiwa na nia sio mpaka uwe na kazi au kipato maalum weka malengo na usikae kae kinyonge mbele za watu Hadi kila mtu ajue shida zako na Wala usijikweze BE HUMBLE
Well said mkuu,hakuna kukaa kizembe..big up sana kiongozi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushapanick sasa,
Kwann usiambiwe ukweli? Lol
Pacha hizi vita unaanzisha mimi unanipa wakati mgumu sana kukugombolezea
 
Daaah kitambo sana,Nakumbuka ilikuwa 2013 nilipomaliza tu O-level pale Jitegemee Sec (Mgulani) sikulaza damu nikasepa home nikiwa na 85k tu mfukoni, ambapo 75k ilikuwa ya kodi kwa 3 month na 10k ya umeme then mwanaume nina Godoro tu nililopewa na Bi mkubwa(RIP) sina hata Balbu achilia mbali feni wala bufa🤣🤣🤣baada ya hapo sikuwahi kurudisha mpira kwa Kipa japo Changamoto zilikuwa nyingi hasa ukizingatia bado nilikuwa Najiendeleza na Shule lakini pia Sikuwa na Mishe ya Uhakika🙏🙏🙏Allahamdurillah leo ni karibia 10yrs nimekuwa Baba,Mume mbele ya Watu wengine and Still Bado mapambano yanaendelea.

Kama una ndoto ya kuondoka Home na Kujitegemea ina wezekana ikiwa unayo nia ya Dhati,mimi niliumizwa na ile situation ya asubuhi tunaamka nyumba moja na Sisters tunagombea foleni kwenda kuoga pia Home hapakuwa fresh asee,Yaani Bi Maza ndiyo afanye Kila kitu dahh ilikuwa inanipa shida sana nikatamani kuwa huru,hatimaye nikafanya nikiwa na miaka 18 pekee,japo nilipingwa na Familia nikionekana mdogo lakini msimamo ukanisave🙏🙏🙏 wengine wanahamia vyombo wamebeba kwenye Magari,mm nakumbuka nilibeba kwenye Baiskeli tu ya mwana kigodoro changu na ndoo ndogo mbili ndani kukiwa na sufuria mbili na mwiko 🤣🤣🤣🤣na kajiko ka Mchina (kanatumia mafuta ya taa)Watu walinishangaa sana siku ile.
😁😁😁😁😁 umenikumbusha kitu kimoja....kuna siku nahama naenda kuanzisha getto...nilibeba vitu kwenye toroli 😁😁😁 ila leo Alhamdullilah aiseeee......Mambo sio kama zamani
 
nilivo kua chuo nilinunua kalibu kila kitu Cha geto then 2019 baada kumaliza nililud mtaan but sikufikia om nikaamua kupanga.
Om walikataa kabisa suala la mm kupanga but nilisepa bila wao kutaka. So hyo 2019 nikawa nimepanga chumba kimoja 2020 nikapanga chumba na sebule 2021 mwishon nikapanga nyumba nzima vyumba vi 3 vya kulala, sebule, stoo, jiko public toilet na ina fens af naish peke yangu but hata om hawajui nimewezaje kufanya hvo na Sina kipato maalum. Some times watu wa heshima wanakuja kukopa hela kwangu wakijua ninazo but kumbe ndan nina buku tu.
nakushaur Kama kijana kila kitu kinawezakan ukiwa na nia sio mpaka uwe na kazi au kipato maalum weka malengo na usikae kae kinyonge mbele za watu Hadi kila mtu ajue shida zako na Wala usijikweze BE HUMBLE
why umepanga nyumba nzima na uko mwenyewe?
 
Back
Top Bottom