Ulianzaje kukaa gheto?

Hahaa apo kwa puchu imenigusa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mda mzeee ela ya soap hun yan unaenda kavu, ila dar kugumu dadeq acha kabisa sema kukaa geto unajifunza mengi mno
.Sana mkuu .
BLOGER10 . yani unajifunza namna ya ku behave aseeeee .ila mambo mengne kama PUCHU na kuingiza malaya ni desturi mkuu
 
.Sana mkuu .
BLOGER10 . yani unajifunza namna ya ku behave aseeeee .ila mambo mengne kama PUCHU na kuingiza malaya ni desturi mkuu
Yaaa izo nyingine Tabia tu, sema unajifunza kukaa na mke, kutunza pesa, bajeti, na ishu nyingine ka izo
 
Mambo ya geto bana,,, juzi kuna demu kaja amepika tule geto,, nakuja kugundua kumbe nna kijiko kimoja tu,, vingine vyote nilikua navimwaga tuu wakt naosha vyombo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
 
Mimi nilivyomaliza chuo mwaka jana nilirudi home sina hata pesa niliyokuwa naweka akiba kwa sababu nilikuwa sijapata mkopo baada ya kukaa home nilipata kazi mkoa wazazi wakanipa pocket money kiasi kidogo pamoja na nauli, nilitafuta chumba cha 25000 nikalipa kodi ya miezi miwili na godoro langu dogo. Maisha yalikuwa siyo mazuri sana cz mshahara nilikuwa nalipwa laki mbili na nusu tu. Nimekaa mwezi mmoja najitegemea ndugu yangu akaja akafikia kwangu kwa lengo la kuwa amekuja kufanya interview sehemu flani. Cha kushangaza hiyo interview hakwenda alikuja tu kupumzika. Maisha ya geto yalianza kuwa magumu sana cz mwanzoni nilikuwa najibana ili ninunue kitanda na vitu vinginevyo vya ndani. Huyu ndugu yangu alikuwa hajali wala hakuwa na mpango wa kuondoka kurudi kwao na isitoshe alileta marafiki zake wakawa wanakaa kwangu hata wiki mbili! niliwaza njia za kumkimbia nikashindwa, bahati nzuri nilipata training ya kazi nyingine ya muda, nikapata upenyo wa kumuondoa. Geto nililivunja nikarudi home kwa sababu kazi nilifanya karibu na nyumbani. Ila kwa sasa natamani tena nitoke nikapange tena nipambane na maisha.
ONYO. Ukiamua kupanga usipende sana kuendekeza ndugu. Watakurudisha sana kimaendeleo.
 
Nimejikuta nalike tu hii story mkuu hongeraa
 
Dah nimejikuta nakupa like tu big up brah
 
Daah mkuu fanya tu utoke hapo hom..ila hapo kweny ndugu ndo lawama...bora upate aliye tayar kushare cost,kulko wazembe wapenda kutonga...ila umetisha sana kaka
 
huyo manz bdo upo nae
 
Home nimetoka 2013 ni baada ya kujiunga chuo till now bado sija settle kwasababu ya hama hama na kuuza vitu vyangu, currently nipo kigoma nafikilia kutulia saiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…