Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Hivi vitu napends nivijue, naomba kuelekezwa, hasa kwenye mambi ya ma games, ila isiwe games za mpira..Tupo kaka apo ongeza na aya
Assassin creed 1,2
Mafia 2
Fifa 14 au 2020
Blur
Pes 2021 ukiwa na wana inakuwa poa sana
Game n movie ndio ulevi wangu mkubwa na mziki mkubwa kwa mbali
Tafuta kwanza PC au PS uenjoy hvyo vitu havielekezweki bila practice na practice require materials..Hivi vitu napends nivijue, naomba kuelekezwa, hasa kwenye mambi ya ma games, ila isiwe games za mpira..
Tafuta kwanza PC au PS uenjoy hvyo vitu havielekezweki bila practice na practice require materials..
Tupo kaka apo ongeza na aya
Assassin creed 1,2
Mafia 2
Fifa 14 au 2020
Blur
Pes 2021 ukiwa na wana inakuwa poa sana
Game n movie ndio ulevi wangu mkubwa na mziki mkubwa kwa mbali
Your getto its dope, you wont feel bored.. all refreshment stuffs you have.View attachment 2216818
Mnyama huyoo
Your getto its dope, you wont feel bored.. all refreshment stuffs you have.
Yeah PS tatuView attachment 2216818
Mnyama huyoo
Dah kwl mzee kajaza mazaga kibaoYour getto its dope, you wont feel bored.. all refreshment stuffs you have.
Nitamfikia. soon hahahDah kwl mzee kajaza mazaga kibao
Me nngeweza kumfikia sema pesa nayopata nakeep nipate mtajiNitamfikia. soon hahah
Wanauchumi, hii tunaita choice of preference. ..Me nngeweza kumfikia sema pesa nayopata nakeep nipate mtaji
Nitamfikia. soon hahah
Hata mm muda mwingi nakuwa getto alone, kwahyo sina budi ya kuanza kuwa na vitu kama hivyo, vya kuji fresh... ofcourse ni muhimu, ndio maana vikawepoLife style yangu naona hivi vinanifaa
Hapa nlipo sina marafik na pia sina pakwenda nkirud getto
Weekend ndio kabisa nakua alone tu getto
Unadhan utafanyaje ku refresh?
You live my life bro,baada ya job na weekends mara nying ni kushinda napiga zangu GTA V , Pes 2021,au kupeleka mizigo (American Truck)....Otherwise utakuta nachek movies/Series...Life style yangu naona hivi vinanifaa
Hapa nlipo sina marafik na pia sina pakwenda nkirud getto
Weekend ndio kabisa nakua alone tu getto
Unadhan utafanyaje ku refresh?
Ila ntachukua tu before ya mtaji ata Ps4 slim one dayWanauchumi, hii tunaita choice of preference. ..
yeah its much better to invest kwenye asset kuliko kwenye liabilities stuffs..
Woooi kula tano[emoji109] me sijawahi penda pes toka nazaliwa na sio tu mapenzi bali limekaa kiuongo sana yaan game ni lile linaanza EA sport to the game[emoji16][emoji16][emoji16]aloooo hatari sana ilo nmeanza toka fifa14Msinielewe vibaya mi naona Pes ni too childish, Fifa ndio unyama wenyewe.
Kwa wale wenye PC ambazo hazisupport game za miaka ya karibuni watafute game kama Just cause, Far cry za mwanzo, Battlefield za mwanzo, Call of duty za mwanzo pia kuna kitu kama Mad max, Assassin Creed 1,2- Blackflag, Mafia au Watchdog. Wallahi hutakuja kulichukia ghetto hata likiwa na bed tu.
Kwa wale wenye heavy gaming machines nawakumbusha tu God of War imekuwa officially released kwa PC.
You live my life bro,baada ya job na weekends mara nying ni kushinda napiga zangu GTA V , Pes 2021,au kupeleka mizigo (American Truck)....Otherwise utakuta nachek movies/Series...
Huu uzi toka umeletwa hapa jukwaan nimejifunza mengi na asikwambie mtu ghetto raha sana hasa ukiwa unajiweza i.e unamudu kulipa bills na vitu vya aina hio
Kumbe sio pc zote zina support games fulani? So mfn kwa mm ninae taka, kuwa na games za pc , una ni advace vipi? ila games za fifa sipo interested nazoMsinielewe vibaya mi naona Pes ni too childish, Fifa ndio unyama wenyewe.
Kwa wale wenye PC ambazo hazisupport game za miaka ya karibuni watafute game kama Just cause, Far cry za mwanzo, Battlefield za mwanzo, Call of duty za mwanzo pia kuna kitu kama Mad max, Assassin Creed 1,2- Blackflag, Mafia au Watchdog. Wallahi hutakuja kulichukia ghetto hata likiwa na bed tu.
Kwa wale wenye heavy gaming machines nawakumbusha tu God of War imekuwa officially released kwa PC.
Mara oooh dada sina pesa ya matumizi,mara oooh dada inabidi tuende tour,Tumia pesa ikuzoee boss [emoji2]