Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Tafuta kwanza PC au PS uenjoy hvyo vitu havielekezweki bila practice na practice require materials..

image-2022-05-08-3:59:02-085 PM.jpg

Mnyama huyoo
 
Tupo kaka apo ongeza na aya
Assassin creed 1,2
Mafia 2
Fifa 14 au 2020
Blur
Pes 2021 ukiwa na wana inakuwa poa sana
Game n movie ndio ulevi wangu mkubwa na mziki mkubwa kwa mbali

Kaka blur lipo
Hata pes 2018 lipo
Nawezaje kupata haya yakisasa
Kwenye pc yangu nnalo la 2021 kama sikosei je nawekaje humu?
 
Life style yangu naona hivi vinanifaa
Hapa nlipo sina marafik na pia sina pakwenda nkirud getto
Weekend ndio kabisa nakua alone tu getto
Unadhan utafanyaje ku refresh?
Hata mm muda mwingi nakuwa getto alone, kwahyo sina budi ya kuanza kuwa na vitu kama hivyo, vya kuji fresh... ofcourse ni muhimu, ndio maana vikawepo
 
Life style yangu naona hivi vinanifaa
Hapa nlipo sina marafik na pia sina pakwenda nkirud getto
Weekend ndio kabisa nakua alone tu getto
Unadhan utafanyaje ku refresh?
You live my life bro,baada ya job na weekends mara nying ni kushinda napiga zangu GTA V , Pes 2021,au kupeleka mizigo (American Truck)....Otherwise utakuta nachek movies/Series...
Huu uzi toka umeletwa hapa jukwaan nimejifunza mengi na asikwambie mtu ghetto raha sana hasa ukiwa unajiweza i.e unamudu kulipa bills na vitu vya aina hio
 
Msinielewe vibaya mi naona Pes ni too childish, Fifa ndio unyama wenyewe.

Kwa wale wenye PC ambazo hazisupport game za miaka ya karibuni watafute game kama Just cause, Far cry za mwanzo, Battlefield za mwanzo, Call of duty za mwanzo pia kuna kitu kama Mad max, Assassin Creed 1,2- Blackflag, Mafia au Watchdog. Wallahi hutakuja kulichukia ghetto hata likiwa na bed tu.

Kwa wale wenye heavy gaming machines nawakumbusha tu God of War imekuwa officially released kwa PC.
 
Woooi kula tano[emoji109] me sijawahi penda pes toka nazaliwa na sio tu mapenzi bali limekaa kiuongo sana yaan game ni lile linaanza EA sport to the game[emoji16][emoji16][emoji16]aloooo hatari sana ilo nmeanza toka fifa14
 
You live my life bro,baada ya job na weekends mara nying ni kushinda napiga zangu GTA V , Pes 2021,au kupeleka mizigo (American Truck)....Otherwise utakuta nachek movies/Series...
Huu uzi toka umeletwa hapa jukwaan nimejifunza mengi na asikwambie mtu ghetto raha sana hasa ukiwa unajiweza i.e unamudu kulipa bills na vitu vya aina hio

Hivi kwenye ps3 pes 2021 inacheza fresh?
 
Msinielewe vibaya mi naona Pes ni too childish, Fifa ndio unyama wenyewe.

Kwa wale wenye PC ambazo hazisupport game za miaka ya karibuni watafute game kama Just cause, Far cry za mwanzo, Battlefield za mwanzo, Call of duty za mwanzo pia kuna kitu kama Mad max, Assassin Creed 1,2- Blackflag, Mafia au Watchdog. Wallahi hutakuja kulichukia ghetto hata likiwa na bed tu.

Kwa wale wenye heavy gaming machines nawakumbusha tu God of War imekuwa officially released kwa PC.
Kumbe sio pc zote zina support games fulani? So mfn kwa mm ninae taka, kuwa na games za pc , una ni advace vipi? ila games za fifa sipo interested nazo
 
Back
Top Bottom