Ulianzaje kukaa gheto?

Nilianza na godoro tuu 6/8 inch 10 ambalo nililichongesha Moja kwa moja kutoka Kiwandani since kitanda kikubwa ni ugonjwa wangu....sikua na bakuri wala kijiko....nilikua namiliki smartphone... Nguo zangu na mashuka ma4 baas
ulichongesha shilingi ngapi mkuu maana na mimi bado naishi gheto
 
Nakumbuka mimi nilijaribu kumwambia mzazi kwamba ni muda wa mimi kuanza kujitegemea...aisee nilifokewa vibaya mno maana niliambiwa bado mdogo na mimi nikawa mpole lakini baada kama ya miezi sita nikatafuta room nikanununa vitu muhimu na kama mwezi mmoja nimelipia gheto lakini nikawa sijahamia maana nilikuwa naogopa nitaanzaje..
Nilichofanya ni kumtafuta ndugu yangu mkubwa na kumuomba nimpeleke sehemu na baada ya kumpeleka gheto kwangu alishangaa na hakuamini vile vitu nilipataje na akanipa hongera kubwa na kusema kazi ya kuwaambia wazazi nimuachie yeye
 
Braza ulitisha sana...Big up mkuu
 
Nilichojifunza kama nna likizo nataka kwenda kwa mtu huwa natoa taarifa. Ukija getto kwangu bila taarifa utalala ila sitakutafutia kitu cha kula. Utajijua mwenyewe maana sijakuleta umejileta mwenyewe.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hahahaha sio poa mgeni alale njaa
 
Daahhhh...
 
Hogera mkuu
 
Nilinunua mkeka na chandarua tu[emoji4] [emoji4] , life lilinipiga za uso ikabidi nirudi home. Dah masista zangu acha waangue kicheko na kulikoni kibao[emoji1]
Hao dada zako kweli wapuuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu alimaanisha nini usipende kupikapika[emoji3]
 
One of amazing post, people try to explain their beginning transition life fr parents to getto with alot of fun ......real am learning some madini from here.....!!!! Pls more comment[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…