Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
na babu yupo kwa bubwaBado nipo kwa Baba, na Baba yupo kwa Babu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na babu yupo kwa bubwaBado nipo kwa Baba, na Baba yupo kwa Babu.
Boss, mipango sio matumizi😯Robo ya mwaka inakaribia sasa,ushawapisha madogo au bado mnabanana humo humo[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] [emoji4] [emoji4] kutoka home udhamirie kweli kweli lasivyo utageuza majeshi mapema tuBoss, mipango sio matumizi[emoji54]
Ni kwel usemayo, ila kwa hatua niliyo nayo namshukuru mungu[emoji4] [emoji4] [emoji4] kutoka home udhamirie kweli kweli lasivyo utageuza majeshi mapema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii njia inaweza kuwa nzuriWengine tukiandika story zetu hapa ni ndefu sana.
Ila najua wengu wanaochelewa kutoka home ni waliosoma, na njia rahisi ya kuanza kuishi ghetto ni ukiwa chuoni, yani hata kama unaishi hostel za chuo anza kununua hata godoro weka huko, mapazia, rice cooker na vitu vya msingi. Kabla ya kumaliza chuo hakikisha unapata chumba unapanga unaweka na mali zako. Hata kama utarudi nyumbani, rudi huku umeacha ghetto hata kama lina godoro tupu, na mfukoni ukiwa na pesa ya akiba iliyotokana na kujua namna na kumanage matumizi ya pesa ukiwa chuoni.
Kwa wale wenye wazazi wasiotaka vijana wao watoke home huku hawaza kazi rasmi, njia rahisi ni hata kudanganya kuwa unasafari unaenda kumsalimia rafiki yako fulani, au umeitwa kwa ajili ya tempo sehemu fulani, nk, ukitoka tu hapo ndio mazima siku ukirudi ni kwenda kumalizia mizigo iliyobaki home. Ikiwa huko ulikoenda anawaambia tu nimepata mishe ya kufanya hivyo sitarudi saizi nyumbani nimepanga kichumba sehemu, wataelewa tu, na wazidi kukuombea kwa Mungu maisha yakunyookee
Alimaanisha nini kula kwa mama lisheNiliamua mwenyewe kwamba nahama, alafu sikusema. Nikanunua Kila Kitu ndani kwa siku moja ( nilikuwa na hela). Nikaa kama mwezi , nikasikia nyumbani kinawaka Mama hadi wajomba pia zangu wanawaka. Nakawapigia simu mmoja moja nikawaambia Mzee wangu hakuwa na Shida ila Mama ilikuwa taabu nakumbuka hadi nilimwambia " aah! sasa hivi nina marafiki wengi kuliko mwanzo, nina Marafiki wa Kiume na Kike pia alafu Mamaangu sasa hivi nakosa uhuru hapo kwako kuna mambo mengine siwezi kufanya nikiwa hapo ila nikiwa peke yangu nafanya. Najua hata hapo kwako siwezi kukaa milele, nitatoka na huu ndio muda wa kutoka" Mama akacheka akaniambia basi usipende kupikapika saana muda mwingine uwe unakula kwa Mama au Baba lishe ( hili neno lake nililing'amua baadae sana).
Maisha yanaendelea, haki nimejifunza mambo mengi huku kitaa!
Hatar sana mkuu[emoji3][emoji3]Robo ya mwaka inakaribia sasa,ushawapisha madogo au bado mnabanana humo humo[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepambana sana mkuu..hongera sanaebuana tangu nimezaliwa mimi nilikuwa naishi na mama angu pa1 na wadogo zangu, katikati ya mwaka 2015 nikiwa form four mama aliamua kwenda dar es laam kujichanga kimaisha, akaniacha mimi na wadogo zangu kama watatu, baada ya mwezi akaagizia mtu amuijie yule mdogo kuliko wote(wakati wote huo alikuwa anagharamia pesa za matumizi na kodi ya pango, na Mimi nikiwa bado nipo maskul).
Sasa baada ya kumaliza shule kimbembe ndipo kilipo anza, kwanza kodi ikaanza kusumbua kwa mother, pia hela ya mahemezi nayo ikawa taaabu kweli kweli. mara mama atume buku10 kwa juma zima ikafkia hatua madogo wote wakatoweka home. Mwingine alienda kwa rafki yake mama na mwingine akawa kaenda kwa ndugu zetu nikawa nimebaki peke angu
Nikatafakari maybe niangalie upande wa pili yaani kwa mshua(yupo dar miaka mingi ila yeye ana maisha yake na mama ana harakati zake) ambaye kiuharisia sijakuwa naye wala sijawahi kukaa nae hata siku nzima ikapita, nikamwambia anisaidie walau pesa ya mtaji hata laki1 iweze nisaidia kupata chanzo (wakati huo mama ana kama miezi miwili hatumi pesa ya kodi wala ya magenta). Mara baada ya baba kumuomba pesa alichonijibu sikuwahi kutarajia kujibiwa, aliniambia kuwa "MTAJI WAKO WA KWANZA NI JAMII INAYOKUZUNGUKA" sikuwa na jinsi ilinibidi nikubaliane na matokeo..
Baada ya mda flan iv mama alituma elfu40 pekee akadai nihamie sehem nyingine maana mwenye nyumba alikuwa keshakuwa mbogo.. pia niangalie nyumba yenye bei poa kwa kuwa nimebaki peke angu afadhari nichukue walau single isiyo na umeme ili inisadie kupunguza gharama ya kodi nikalipia hela ya miezi miwili(ila kipindi nahama baba mwenye nyumba ninapo hama alikaba baadhi ya vitu ila nilikuja kuvikomboa baadae, baada ya kupata pesa yake).
Namshukuru mungu baada ya muda kweli ushauri ule wa baba ambao niliuona wa kipuuzi niliutumia kuifanya jamii yangu kuwa mtaji, niliajiliwa kuuza DVD mtaani(yaani kama nikiuza elf2 ya boss ni buku na yangu buku, hata nkiuza zaidi ya elfu mbili ya boss ni buku tu kwa kila DVD) kama mwez kama wa 10, 2016 wadogo zangu walimfuata mama. nikawa nimebaki peke angu..
Kiukweli biashara ilinilipa sana maana kwa siku niliweza kutunza faida ya hadi elf 3o nikawa nanunua mifugo mbuzi&ng'ombe napeleka kwa babu kijijini, nikaanza kujipanga maana vitu vyote vya ndani nilimtumia mama, na mm nikaanza maisha yangu hadi sasa najitegemea na mama anaomba msaada wowote kutoka kwangu..
2017 nilibadili biashara na kuwa mqchinga nilipambana sana na mwanzoninmwa mwaka jana nikaamua kuwa wakala wa mitandao ya kipesa hadi hivi leo nimejiajiri mwenyewe kama wakala.. kiukweli mimi kama mimi hakuna hata sumuni ya mtu nilioipata kutoka kwa mtu yeyote zaidi ya juhudi zangu na nia yangu ya kuishi kwa imani kuwa naweza.
Wito:mwanzoni nilijua kauli ya baba ilikuwa ni ya kunivunja moyo, lkn hadi hivi leo naishi nikiamini siku moja nimuaminishe baba kuwa niliishi kwa kutegemea jamii inayonizunguka ndio maana nimefka hapa nilipo, kila kijana ana kila sababu ya kutokukaa nyumbani kwa kigezo cha kutokuwa na pa kuanzia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukifkria sana hutoki[emoji23][emoji23][emoji4] [emoji4] [emoji4] kutoka home udhamirie kweli kweli lasivyo utageuza majeshi mapema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo dingi pasuaa [emoji23][emoji23]Hii njia inaweza kuwa nzuri
Kuna dogo angu Fulani kamaliza chuo mwaka Jana alikuwa anaishi geto na geto lilijaa kila kitu sasa shule imeisha mdingi yake kakomaa dogo arudi home hahaha
Kuna madingi wana mambo ya kidekteta uchwara
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo HVO kaka!!Umepambana sana mkuu..hongera sana
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kweli mkuu..mipango huanza mapema sanaNadhani wengi tukiwa tupo chuo tunajisahau sana. Unapokuwa chuo mbali na masomo lakini pia anza kutengeneza connections.
Mimi binafsi nilianza kukaa ghetto mwaka wangu wa kwanza kabisa. Maeneo ya msewe karibia na changanyikeni. "Golani"
Niliweka nadhiri kwamba sitorudi nyumbani kuishi bali kutembelea wazazi. Katika kipindi cha chuo changu chote pesa za boom ama zile za mishe zangu nilikiwa nawekeza kupaendeleza ninapokaa ili nitakapomaliza chuo basi iwe sehemu ya kuishi.
Katika ule mji, mimi ndio nilikiwa kijana mdogo kabisa. Nilijiwekeza kidogo kidogo mpaka nakaribia kumaliza chuo nilikiwa na vitu vyoote muhimu vya kuanzia maisha. Kitanda..meza "office table", workstation, kabati la nguo.. hapo kwa upande wa bedroom. Wakati sitting room nilikuwa na Led flat, dstv, furniture n.k pia jikoni hivyo hivyo.
Mpaka namaliza chuo niliweza kuwa nimelipia nyumba kwa miezi sita zaidi ili kujipa muda wa kutafuta kazi bila pressure.
Mungu alisaidia maana baada ya final year presentation, ijumaa pale coet... j3 nikaanza kazi.. ikawa habari njema.
Ila kujiandaa inabidi kuwepo kuanzia pale unapofanya maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina 23 years now, nimeanza kuishi geto nikiwa na miaka 19, baada ya kupote ada ya chuo million 2 na nusu ila saiv maisha yanaenda vzr tu namshukuru Mungu kwa kupoteza hela nilikimbia kipigo cha mzeee baba
Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
UMETISHA MKUU, ni geto chache sana za wanaume huwa zinatandikwa vyema kiasi hiki..,..Mimi kwakweli kuna kipind nltaka kusepa home kwa influence ya shemeji ynu....baadae nkaona ntakuja kuaibika maana dem alkuw anataka vikubwa mno....nkambwaga...!!nkaanza kuisimamia biashara yngu mpaka iliposimama stable....ndipo nkaamua kupanga sasa
Na nnaenjoy vbaya mno kila nkirud kwangu...kuna mda mpk nnasikitika kwa dharau na kejeli alizokuw ananipa shemj ynu
Dem anajua kabsaa nd kwanz nmemaliza chuo...sina kazi....na serikali nd haina habari...!!.halfu anakuuliza "Lini utakuwa na kwako p?"
Hapo ndo npojua kuwa natembea na chuma ulete moyoni...nkambwaga..na huwez amin mambo yngu...uwezo wangu wa kufikiria ulibadilika kuanzia siku ile
biashara nkaanza...ikasimama na nkaahmia geto
Maisha n kujipangA...just kwanza angalia vikwazo..kuna muda yabd utoe sadaka urafiki...undugu au mapenz ili uendelee mbele(kama vinakurudisha nyuma)View attachment 1035707View attachment 1035710
Sent using Jamii Forums mobile app
Ametandika ili apige picha[emoji3][emoji3] jokesUMETISHA MKUU, ni geto chache sana za wanaume huwa zinatandikwa vyema kiasi hiki..,..