Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Unakomaa naye fundi hapo hapo mpaka kieleweke. Tenga siku nzima ili uhakikishe unakamilisha kazi, tena kabla hajaanza mwambie kabisa unaondoka nayo huiachi.
Nataka nifanye hivyo,siwezi kuliacha aisee,
 
Kabisa ukiona vipi nenda na mwanaume yoyote rafiki au kaka yako maana nyinyi ladies huwa mnaonewa sana kwenye mambo ya ufundi baadhi ya vitu hamvijui labda kama umevisomea ndipo huwezi kudanganywa [emoji4][emoji4]
[emoji23]kuna fundi alikuja nitengenezea taa,kanambia atamleta fundi hapa home,nisitoke nalo watanipiga
 
[emoji23]kuna fundi alikuja nitengenezea taa,kanambia atamleta fundi hapa home,nisitoke nalo watanipiga
Hilo nalo ni wazo zuri akutengenezee hapo hapo...Ila kibarazani siyo ndani...angalizo [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Nasubiri ndoto. Yangu ni mbeya kiutafuyaji. naona kupo poa
Kabisa itatimia na hivi hali ya hewa ni nzuri sana kama hupendi joto huko patakufaa sana. Ukienda jitahidi kufanya diet maana si kwa misosi hiyo.
 
Kabisa itatimia na hivi hali ya hewa ni nzuri sana kama hupendi joto huko patakufaa sana. Ukienda jitahidi kufanya diet maana si kwa misosi hiyo.
Ni kweli aisee[emoji23]

Hali ya hewa ipo njema kabisa,
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sipo mwenyewe ujue
Hapo sawa maana ile kuona tu kitanda tena kipya sijui hii ilitokana na nini, mara shuka, viatu vyako, mara upite pite unaenda kupika, mara ukaoge.

Yaani unaweza kujikuta unaaza kutengeneza fridge wakati siyo kazi uliyoitiwa ilimradi tu muda usogee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom