mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Ujifunze kutumia na kuosha pale unapotumia,usiwe unajaza Vyoto hadi vinaotea ukungu,kuviosha tena hadi kinyaa[emoji41]Laivu,kwa nini wachina wasifanye maajab yao watengeze mashine ya kuoshea vyombo!!..mbona ya kufulia waliweza?
tumia chombo suuza hata kama usipoosha na sabuni,mwaga uchafu usilale na uchafu ndani.