Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Lunch served[emoji120]
IMG_20220525_134016_835.jpg
 
Mzee, siku mambo yapo advanced, kuna mashine special za kukunia nazi, tena unakuniwa huko huko gengeni, kwa bei 100, tu... haichukui hata dk 5..
Kuna nazi za Azam pia packet 1 kwa 1000 ziko packed, siyo ishu yaani siku hizi kwa mtu anayependa kujiweka fit kwenye msosi, hata ukienda sokoni kisamvu unatwangiwa, mchicha, chinese unakatiwa, mambo yamerahisishwa.
 
  • Thanks
Reactions: Ccc
Kuna nazi za Azam pia packet 1 kwa 1000 ziko packed, siyo ishu yaani siku hizi kwa mtu anayependa kujiweka fit kwenye msosi, hata ukienda sokoni kisamvu unatwangiwa, mchicha, chinese unakatiwa, mambo yamerahisishwa.
Zile mboga za sokoni usiziamini Sana, hawaoshi vizuri kuondoa wadudu, takataka na michanga yote. Wanatumia maji yasiyo Safi/salama. Labda uwe unamfaham muuzaji.
 
Zile mboga za sokoni usiziamini Sana, hawaoshi vizuri kuondoa wadudu, takataka na michanga yote. Wanatumia maji yasiyo Safi/salama. Labda uwe unamfaham muuzaji.
Ni kweli kabisa kama kisamvu unaweza kukuta vi kinokono vidogo wanatwangia ndani, nilisema kukolezea jinsi mambo yalivyorahisishwa, binafsi mimi mboga huoshea nyumbani.
 
Natoroka kulipa bili nakimbilia kwa mshkaji wangu nakutana na mshkaji wangu naye anatoroka kulipa bili anakuja kwangu.

Tukaenda zetu kukaa baharini kuanzia asubuhi mpaka saa nne usiku tukaenda kulala kwa mshkaji wetu mwingine na ndiyo tumeamka hapa.

Hizo life experience tamu sana ukizichukulia + baadae utabaki na memories tu unakumbushana na jamaa zako mnacheka
 
Back
Top Bottom