Nataka nifanye hivyo,siwezi kuliacha aisee,Unakomaa naye fundi hapo hapo mpaka kieleweke. Tenga siku nzima ili uhakikishe unakamilisha kazi, tena kabla hajaanza mwambie kabisa unaondoka nayo huiachi.
Wabheja sana besti.Hongera sana
Ni la mtumba
Nilimleta fundi,kalifunguana kashindwa,
Sasa naogopa kulipeleka kwa mafundi wasije nibadilishia vitu,,,
Ndani bila mdundo,kuna poozaaa
Kabisa ukiona vipi nenda na mwanaume yoyote rafiki au kaka yako maana nyinyi ladies huwa mnaonewa sana kwenye mambo ya ufundi baadhi ya vitu hamvijui labda kama umevisomea ndipo huwezi kudanganywa [emoji4][emoji4]Nataka nifanye hivyo,siwezi kuliacha aisee,
[emoji23]kuna fundi alikuja nitengenezea taa,kanambia atamleta fundi hapa home,nisitoke nalo watanipigaKabisa ukiona vipi nenda na mwanaume yoyote rafiki au kaka yako maana nyinyi ladies huwa mnaonewa sana kwenye mambo ya ufundi baadhi ya vitu hamvijui labda kama umevisomea ndipo huwezi kudanganywa [emoji4][emoji4]
Nitaweka pichaIpige picha niione kwanza
Mwanza kiwanja ni bei hiyo laki mbili na nusu,,,maana natafuta mkoa nataka nijilipueWabheja sana besti.
karibu sana Mwanza
Hilo nalo ni wazo zuri akutengenezee hapo hapo...Ila kibarazani siyo ndani...angalizo [emoji4][emoji4][emoji4][emoji23]kuna fundi alikuja nitengenezea taa,kanambia atamleta fundi hapa home,nisitoke nalo watanipiga
Mbeya kwenye misosi maisha ni rahisi sana sijajua vyumba vikoje, ngoja wenyeji waje.Wenyeji wa mbeya
Naombeni mnipe muongozo,bei ya vyumba,
Njoo tuishi wote, Kigamboni..Wenyeji wa mbeya
Naombeni mnipe muongozo,bei ya vyumba,
Nasubiri ndoto. Yangu ni mbeya kiutafuyaji. naona kupo poaMbeya kwenye misosi maisha ni rahisi sana sijajua vyumba vikoje, ngoja wenyeji waje.
Wala dar sipataki,nimepachoka.Njoo tuishi wote, Kigamboni..
Ndani haina madhara[emoji23]Hilo nalo ni wazo zuri akutengenezee hapo hapo...Ila kibarazani siyo ndani...angalizo [emoji4][emoji4][emoji4]
Kabisa itatimia na hivi hali ya hewa ni nzuri sana kama hupendi joto huko patakufaa sana. Ukienda jitahidi kufanya diet maana si kwa misosi hiyo.Nasubiri ndoto. Yangu ni mbeya kiutafuyaji. naona kupo poa
Kuna mafundi bwana labda kama hauko peke yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndani haina madhara[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]sipo mwenyewe ujueKuna mafundi bwana labda kama hauko peke yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli aisee[emoji23]Kabisa itatimia na hivi hali ya hewa ni nzuri sana kama hupendi joto huko patakufaa sana. Ukienda jitahidi kufanya diet maana si kwa misosi hiyo.
Hapo sawa maana ile kuona tu kitanda tena kipya sijui hii ilitokana na nini, mara shuka, viatu vyako, mara upite pite unaenda kupika, mara ukaoge.[emoji23][emoji23][emoji23]sipo mwenyewe ujue