Ulianzaje kukaa gheto?

Kuna muda maisha ya geto yanakuwa kisenge sana

mzee unakuta unadaiwa kodi, umeme sijui maji, ukicheki na hapo hela ya kula, una omba omba tu kwa wadau, na maisha huwa yanakuwa tight kwa wanao tegemea salary mwisho wa mwezi, ukicheki hele ya vocha hauna,

Na kipindi hauna pesa, mbususu huwa sijui zinatokaga wapi, yan pisi kibao, zina request kuja geto, ukichek hata mia mbovu hauna..

oya, hii hali sometimes unawaza kurudisha ball kwa kipa.. ila bado tunakaza, na mambo yanaenda...
 

Usiskie hii hali hadi pisi unaipiga kamba ili isije maana itakuongezea cost, ushawahi ona simba anakataa nyama ndio inakuwa hapa sasa

Unadaiwa bills za maji, umeme, watu wa taka etc..halafu mfukoni hapaeleweki utapenda hapo
 
[emoji23][emoji23]
 
Usiskie hii hali hadi pisi unaipiga kamba ili isije maana itakuongezea cost, ushawahi ona simba anakataa nyama ndio inakuwa hapa sasa

Unadaiwa bills za maji, umeme, watu wa taka etc..halafu mfukoni hapaeleweki utapenda hapo
Daaahh hii ilinikuta kifuku Cha 2021, manzi yangu ilinimisi, alikua anatoka mbeya anaenda songea, akaniuliza Kama apitie makambako akae siku 2 ndo aende, mazee nilichomoa nikamwambia sipo Niko porini job. Akapita, anaporudi nikachomoa Tena, akamind Sana, akajua nilikua na michepuko yangu tu. Kumbe mzee baba mishe haziendi pesa Sina. Sijanyoa nywele Wala ndevu yaani nipo tu sieleweki na mvua zinapiga balaa.
Baaada ya kitambo kupita ndio nikamwambia kua m nilikua sieleweki kabisa niliogopa nisije shindwa kukupa hata nauli ya kurudia kwenu. Ingawa alimind pia, kua hua haitaji hela kwangu, lkn kiutu uzima tu ilibidi nisimsumbue.
 

Hizi mambo zinatokeaga ndg yangu
 
Wee rudisha ball kwa kipa, yesu mwenyewe yupo kwa baba yake wee waogooa nini
 
Vipi mkuu ulifanikiwa? Tatizo lako una harakati nyingi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah wapi niliona bora nikae tuu kwa baba kwani shida ipo wapi...kama kugegeda lodge zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…