Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,365
- 2,842
Hongera sana Mzee,hata mimi nimepanga mpaka kufikia 2024 niwe kwangu.nimenunua kiwanja cha mchongo.
nataka kuweka kageto ka mwendokasi baada ya nusu mwaka
Chumba na sebuleView attachment 2245257
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana Mzee,hata mimi nimepanga mpaka kufikia 2024 niwe kwangu.nimenunua kiwanja cha mchongo.
nataka kuweka kageto ka mwendokasi baada ya nusu mwaka
Chumba na sebuleView attachment 2245257
UmeshafanikiwaWenyeji wa mbeya
Naombeni mnipe muongozo,bei ya vyumba,
Kuna muda maisha ya geto yanakuwa kisenge sana
mzee unakuta unadaiwa kodi, umeme sijui maji, ukicheki na hapo hela ya kula, una omba omba tu kwa wadau, na maisha huwa yanakuwa tight kwa wanao tegemea salary mwisho wa mwezi, ukicheki hele ya vocha hauna,
Na kipindi hauna pesa, mbususu huwa sijui zinatokaga wapi, yan pisi kibao, zina request kuja geto, ukichek hata mia mbovu hauna..
oya, hii hali sometimes unawaza kurudisha ball kwa kipa.. ila bado tunakaza, na mambo yanaenda...
Duhh kiwanja cha laki 2 wapi huko mkuunimenunua kiwanja cha mchongo.
nataka kuweka kageto ka mwendokasi baada ya nusu mwaka
Chumba na sebuleView attachment 2245257
Ni 250,000 mkuu.Duhh kiwanja cha laki 2 wapi huko mkuu
[emoji23][emoji23]Kuna muda maisha ya geto yanakuwa kisenge sana
mzee unakuta unadaiwa kodi, umeme sijui maji, ukicheki na hapo hela ya kula, una omba omba tu kwa wadau, na maisha huwa yanakuwa tight kwa wanao tegemea salary mwisho wa mwezi, ukicheki hele ya vocha hauna,
Na kipindi hauna pesa, mbususu huwa sijui zinatokaga wapi, yan pisi kibao, zina request kuja geto, ukichek hata mia mbovu hauna..
oya, hii hali sometimes unawaza kurudisha ball kwa kipa.. ila bado tunakaza, na mambo yanaenda...
Maana ake sheria ichukuliwe mikononi[emoji51]Kama hauna kipato ambacho ni stable epuka sana masuala ya Pisi,hawa viumbe ukiwaendekeza hupigi hatua yoyote.
Maana ake sheria ichukuliwe mikononi[emoji51]
Daaahh hii ilinikuta kifuku Cha 2021, manzi yangu ilinimisi, alikua anatoka mbeya anaenda songea, akaniuliza Kama apitie makambako akae siku 2 ndo aende, mazee nilichomoa nikamwambia sipo Niko porini job. Akapita, anaporudi nikachomoa Tena, akamind Sana, akajua nilikua na michepuko yangu tu. Kumbe mzee baba mishe haziendi pesa Sina. Sijanyoa nywele Wala ndevu yaani nipo tu sieleweki na mvua zinapiga balaa.Usiskie hii hali hadi pisi unaipiga kamba ili isije maana itakuongezea cost, ushawahi ona simba anakataa nyama ndio inakuwa hapa sasa
Unadaiwa bills za maji, umeme, watu wa taka etc..halafu mfukoni hapaeleweki utapenda hapo
Daaahh hii ilinikuta kifuku Cha 2022, manzi yangu ilinimisi, alikua anatoka mbeya anaenda songea, akaniuliza Kama apitie makambako akae siku 2 ndo aende, mazee nilichomoa nikamwambia sipo Niko porini job. Akapita, anaporudi nikachomoa Tena, akamind Sana, akajua nilikua na michepuko yangu tu. Kumbe mzee baba mishe haziendi pesa Sina. Sijanyoa nywele Wala ndevu yaani nipo tu sieleweki na mvua zinapiga balaa.
Baaada ya kitambo kupita ndio nikamwambia kua m nilikua sieleweki kabisa niliogopa nisije shindwa kukupa hata nauli ya kurudia kwenu. Ingawa alimind pia, kua hua haitaji hela kwangu, lkn kiutu uzima tu ilibidi nisimsumbue.
[emoji28][emoji28] Vyovyote vile mkuu,ila sishauri kuendekeza masuala ya madem madem kama mtu bado anajitafuta.Maana ake sheria ichukuliwe mikononi[emoji51]
Wee rudisha ball kwa kipa, yesu mwenyewe yupo kwa baba yake wee waogooa niniKuna muda maisha ya geto yanakuwa kisenge sana
mzee unakuta unadaiwa kodi, umeme sijui maji, ukicheki na hapo hela ya kula, una omba omba tu kwa wadau, na maisha huwa yanakuwa tight kwa wanao tegemea salary mwisho wa mwezi, ukicheki hele ya vocha hauna,
Na kipindi hauna pesa, mbususu huwa sijui zinatokaga wapi, yan pisi kibao, zina request kuja geto, ukichek hata mia mbovu hauna..
oya, hii hali sometimes unawaza kurudisha ball kwa kipa.. ila bado tunakaza, na mambo yanaenda...
Vipi mkuu ulifanikiwa? Tatizo lako una harakati nyingi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee rudisha ball kwa kipa, yesu mwenyewe yupo kwa baba yake wee waogooa nini
Ah wapi niliona bora nikae tuu kwa baba kwani shida ipo wapi...kama kugegeda lodge zipoVipi mkuu ulifanikiwa? Tatizo lako una harakati nyingi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]