Redio muhimu sana ghettoYani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.
Daah vipi Totos huko [emoji3]Niko Kyela kwa mambo fulani, sababu nitakuwa huku kwa miezi 6 nikaamua panga, bana nyumba za huku mbayaaaa.
Tena hapo Kyela mjini
Misumari inatoka yenyewe ukutani
Laana Gani tena?Huwa nanunua takeaway tuu hii mambo ya kuosha vyombo mpaka Mama j awe karibu
Ila hii ishu ya vyombo kwa wanaume Nadhan ni Laana kutoka kwa mitumee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pambana umiliki vyote, hayo ndio maendeleoYani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.
Hahh! Ila kweli Kila mtu na priorities zake. Mimi kheri nilale chini ila niwe na fridge amazing iliyojaa mazagazaga[emoji23]Yani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.
Umetisha comradeπππͺπͺDah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
Kbsa mkuu bishoo haswaaa iLa sas hv ubshoo naupa kisogo maounguza kidogoπππUmetisha comradeπππͺπͺ
YeSSSs bISHoooo haSWaaaa
Nakubali kiongoz wanguDah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
Pamoja saNa mkuu
Chief huo hiko kiganja umekipigia. Punyeto mara ya mwisho lini ?!!!!!ππππππππππππππππππππ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊView attachment 2310114
Just refreshing....game time...
ππππChief huo hiko kiganja umekipigia. Punyeto mara ya mwisho lini ?!!!!!ππππππππππππππππππππ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Kijana wa hovyo ππππChief huo hiko kiganja umekipigia. Punyeto mara ya mwisho lini ?!!!!!ππππππππππππππππππππ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
JAMANI MSAADA NIPO MORO FRIDGE ZURI KWA KUWEKA MAZAGA NAWEZA PATA KWA BEI GANI NA NI KAMPUNI HIPI NZURI
Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
hzo bookshelf speakers ni umeziunda mwenyewe??View attachment 2310114
Just refreshing....game time...
Nataka size ya katiBoss n nzuri
Bei inategemeana na ukubwa
Hapana hizo ni pioneerhzo bookshelf speakers ni umeziunda mwenyewe??