Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Yani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.
Hahh! Ila kweli Kila mtu na priorities zake. Mimi kheri nilale chini ila niwe na fridge amazing iliyojaa mazagazaga[emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
 
Umetisha comrade👊👊💪💪

YeSSSs bISHoooo haSWaaaa
 
Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
Nakubali kiongoz wangu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Chief huo hiko kiganja umekipigia. Punyeto mara ya mwisho lini ?!!!!!😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😁😁😁😁😁😁🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Kijana wa hovyo 😀😀😀😀

Kwann mkuu?
 
Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]

Safi mkuu vizuri sana
 
Back
Top Bottom