venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Redio muhimu sana ghettoYani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Redio muhimu sana ghettoYani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.
Daah vipi Totos huko [emoji3]Niko Kyela kwa mambo fulani, sababu nitakuwa huku kwa miezi 6 nikaamua panga, bana nyumba za huku mbayaaaa.
Tena hapo Kyela mjini
Misumari inatoka yenyewe ukutani
Laana Gani tena?Huwa nanunua takeaway tuu hii mambo ya kuosha vyombo mpaka Mama j awe karibu
Ila hii ishu ya vyombo kwa wanaume Nadhan ni Laana kutoka kwa mitumee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pambana umiliki vyote, hayo ndio maendeleoYani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.
Hahh! Ila kweli Kila mtu na priorities zake. Mimi kheri nilale chini ila niwe na fridge amazing iliyojaa mazagazaga[emoji23]Yani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.
Umetisha comrade👊👊💪💪Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
Kbsa mkuu bishoo haswaaa iLa sas hv ubshoo naupa kisogo maounguza kidogo😁😁😄Umetisha comrade👊👊💪💪
YeSSSs bISHoooo haSWaaaa
Nakubali kiongoz wanguDah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
Pamoja saNa mkuu
Chief huo hiko kiganja umekipigia. Punyeto mara ya mwisho lini ?!!!!!😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😁😁😁😁😁😁🥺🥺🥺🥺🥺🥺View attachment 2310114
Just refreshing....game time...
😂😂😂😂Chief huo hiko kiganja umekipigia. Punyeto mara ya mwisho lini ?!!!!!😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😁😁😁😁😁😁🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Kijana wa hovyo 😀😀😀😀Chief huo hiko kiganja umekipigia. Punyeto mara ya mwisho lini ?!!!!!😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😁😁😁😁😁😁🥺🥺🥺🥺🥺🥺
JAMANI MSAADA NIPO MORO FRIDGE ZURI KWA KUWEKA MAZAGA NAWEZA PATA KWA BEI GANI NA NI KAMPUNI HIPI NZURI
Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
hzo bookshelf speakers ni umeziunda mwenyewe??View attachment 2310114
Just refreshing....game time...
Nataka size ya katiBoss n nzuri
Bei inategemeana na ukubwa
Hapana hizo ni pioneerhzo bookshelf speakers ni umeziunda mwenyewe??