Ulianzaje kukaa gheto?

Ni kweli mkuu. Huwa napiga Dua aendelee kuwa hivi siku zote, kujielewa kwake ndio nguzo [emoji120][emoji120]

Tunapokuwa tunaanza maisha, tunahitaji watu watakaoweza kutuelewa, kutukubali tulivyo, kututia moyo na kutusupport hata kwa mawazo
 
Umetukimbia jukwaani,

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu. Huwa napiga Dua aendelee kuwa hivi siku zote, kujielewa kwake ndio nguzo [emoji120][emoji120]

Tunapokuwa tunaanza maisha, tunahitaji watu watakaoweza kutuelewa, kutukubali tulivyo, kututia moyo na kutusupport hata kwa mawazo
Kabisa mkuu. Hongera sana bro.
 
Nmesoma mala 3 nzima

Mkuu kwa namna yoyote ile usijaribu kumfanyia vimbwanga huyo mwanamke
USIJARIBU KABISA...
Mungu amekupa njia ya mafanikio
Shida yetu n kua tukitoboa tunaanza kuwazingua nao wanabadilika
Then jamii inamuhukumu yeye pekeake
 
Dah yaani ukamuacha kisa anataka umgonge mara kwa mara?

Ungemfanyia rufaa akaja kwangu aisee
Yuko wapi huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…