Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ulimpata mwanamke anayejielewa. Fikiria kuna mtu ana mwanamke ambaye akijua umepata hela tu anawaza kununua madera, viatu vyenye manyoya, kula vizuri(anasa),ukisema utunze hela huikuti ameitumia kwa matumizi usiyoyajua..huyu unaweza kuishi naye kweli ukiwa unaanza maisha na ukatoboa kweli?

Yaani wewe una bahati sana wanaume wengi wameumizwa na baadhi ya wanawake wajinga. Kabla hajafanya maamuzi awe na uhakika kwamba huyo mwanamke ana akili zake za kumtosha.

Ni kweli mkuu. Huwa napiga Dua aendelee kuwa hivi siku zote, kujielewa kwake ndio nguzo [emoji120][emoji120]

Tunapokuwa tunaanza maisha, tunahitaji watu watakaoweza kutuelewa, kutukubali tulivyo, kututia moyo na kutusupport hata kwa mawazo
 
Naamia geto NEXT MONTH ehhe MUNGU nisaidie

Nimeshanunua kitanda 5×6 , shuka ninazo 2, neti safi , mtungi mdogo wa gesi , vyombo vya muhimu,feni, hapa natafuta portable speaker kukaa bila mziki siwezi , natafuta chumba Cha elfu 50/60 chenye choo ndani
Umetukimbia jukwaani,

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu. Huwa napiga Dua aendelee kuwa hivi siku zote, kujielewa kwake ndio nguzo [emoji120][emoji120]

Tunapokuwa tunaanza maisha, tunahitaji watu watakaoweza kutuelewa, kutukubali tulivyo, kututia moyo na kutusupport hata kwa mawazo
Kabisa mkuu. Hongera sana bro.
 
Kama demu anaeleweka, basi utafanya mengi ya maendeleo ndani ya muda mfupi.

Nilivyoamuaga kupanga, soon nikaanza kuishi na mwanamke. Nilikuwa nikipata 300k, yeye nampa 250k, alaf namwambia hii ndio ipo, utaplan ufanyie Nini, lakini utakachofanyia naomba uniambie.

Nilinotice mle ndani vitu vikaanza kuongezeka mdogo mdogo, mara vyombo, sufuria, rice cooker, pressure cooker etc. Kuna kipindi nikamwambia nataka tuanze kudunduliza tununue Tv na king'amuzi. Budget yangu kwenye Tv ilikuwa 400k kwa inch 32. Hiyo siku nikampa 200k, aitunze ili next month nijazie ikamilike na king'amuzi, hakupokea Ile hela, akaniambia subiria, akaenda kupekua pekua kwenye nguo zake akanja na 700k (kumbe alikuwa anawekaga akiba), plus Ile 200k tukawa na 900k, akaniambia kanunue Tv kubwa, next month ndo tutabuy king'amuzi. I was surprised, sikuexpect that.

After that day, kuna siku tunachek tamthilia after kula, akaniambia Kodi hii ikiisha, tukalipia tena itakuwa mara ya mwisho kukaa hapa, inabidi tuhamie sehem yenye chumba na sebule. Nikamuuliza tutaweza kumudu gharama za chumba na sebule? Akanijibu Kila kitu kinawezekena tukijipanga, ndio maana nimekushirikisha mapema. Na kweli, after a while, tukahamia sehemu nyingine.

Hata ikitokea mishe zimekuwa tight kiasi gani, kahela kadogo ninakokapata huwa namkabidhi yeye asimamie matumizi yake, kwa upande wangu Niko very careless na hela, uwepo wake umenifanya ni accomplish vitu vingi ndani ya muda mchache, ambavyo peke yangu nisingeweza maana Hela yangu nyingi ilikuwa inapotelea kwa muhindi (betting).

Sina mchongo wa maana hapa Mjini, lakini friji Iko full, mchele, unga na mboga mboga zipo, kiasi kwamba hata nikisota mwezi, tunauhakika wa kula na kulala sehemu nzuri. Washkaji zangu wakijaga kunitembelea huwaga hawaamini wanachokiona.

So, back to the topic mkuu Secret ID kama huyo manzi anaeleweka, jilipue tu, haya maisha tunayoishi Kila kitu tunachofanya ni tunabet, results zitajishow mbeleni.

Nmesoma mala 3 nzima

Mkuu kwa namna yoyote ile usijaribu kumfanyia vimbwanga huyo mwanamke
USIJARIBU KABISA...
Mungu amekupa njia ya mafanikio
Shida yetu n kua tukitoboa tunaanza kuwazingua nao wanabadilika
Then jamii inamuhukumu yeye pekeake
 
Nmenunua nyama hapo
Ile nafika home kuwasha gasi ikalia bwiiiiiiiiisuuu


Aah kmenibidi nijaribu maisha ya home
IMG_7991.jpg
 
aisee nilipata hio pisi ina pepo la ngono KIPINDI niko chuo.. yaani mda wote inataka, mpaka ikiwa kwa sku zake inataka.. but tuliachana kisa hio tabia.. ilifika kipindi ananinunulia energy ili usiku nisi lala tuwe tunagongana tu[emoji23][emoji23]....

daah yule dada alikua mwana maombi mwaminifu pale chuoni. basi kila sku alikua ana danganya a naumwa ili tubak tunagongana.. [emoji23][emoji23]
.....

daah nimekaukiwa mbususu mpaka nakukumbuka kelly wangu[emoji4]

Dah yaani ukamuacha kisa anataka umgonge mara kwa mara?


Ungemfanyia rufaa akaja kwangu aisee
Yuko wapi huyo?
 
Back
Top Bottom