Ulianzaje kukaa gheto?

Napika mara 2kwa mwezi 😁

Kula vinavyouzwa hakuepukiki
 
Wakaka

Pendeni mageto yenu,panga vitu vizuri sio unaishi chumba kama kwa fundi kushona nguo unaweka hovyo,vyombo hovyo vinavundiana na mauchafu,

Nyie ni wavivu kuosha vyombo,hivyo nawashauri msinunue vyombo vingi,nunua tu vya muhimu,,
Daaahh hii ni issue saba kwa sisi boys tulio wengi tunakumbuka kutafuta hela ila maghetto yetu yako rough hata kama yana vitu vizuri. Wachache ndo wasafi sana wengi tuko kawaida
 
Kanuni namba moja katika maisha yangu kuhusu ghetto ni kutomruhusu mtu mwingine atumie kusex na manzi ake. Sijawahi na washkaji wote walinielewa kuhusu hilo.
 
Kanuni namba moha katika maisha yangu kuhusu ghetto ni kutomruhusu mtu mwingine atumie kisex na manzi ake. Sijawahi na washkaji wote walinielewa kuhusu hilo.
Hii kitu toka nlipotoka kupanga na mshkaji kilikua kinakera sometime wanae wanakuja kumuazma geto apge show na dem wake mi natoka misj nakuta geto kuna mtu afu hausk na hata kulipa umeme toka hap mpka leo nmepanga tena siwez muazma mshkaji geto aje kulala na dem wake hata iwe tunashibana vp apo atanisamehe juz kat kaja mwanangu et nimuazme geto yaan godor jipa shuka mpya kitanda kipya mi mwenyew sijawah hata kuingza demu afu yy aje ato()bee kwenye geto langu likamuangalia nkamchinjia bahrini toka sku hy hajaja geto kunitembelea kbsa mpka leo[emoji1787][emoji1787]
 
Ila wanaume 🤣🤣
Mna kazi sana
 
Kitu inauma sana hio mkuu,afu kuna ile mwana kaja kujishikiza kishikaji tu afu unaona siku zinatembea tu yupo hachangii chochote na wala hana mpango wa kusepa
 
Kitu inauma sana hio mkuu,afu kuna ile mwana kaja kujishikiza kishikaji tu afu unaona siku zinatembea tu yupo hachangii chochote na wala hana mpango wa kusepa
Mm kwa sas hv nmeamua kama mbwai mbwai sababu hata mm nkipata demu kpnd sina geto nlkua simuambii mtu aniazime geto nlkua napambana kivyangu yaan sa hv kukaa na mtu jau kwakweLi
 
Changamoto za kukaa na mtu ni zipi mkuu nipe experience yako
Ujue mnakua kila mtu na tabia zake halafu kwa mm lkn sjui kwa mwngne kuna mda huwaga napenda kukaa alone natafakari hasa pale ambapo sina pesa au uelekeo wangu unakwama mipango haiend napenda kukaa peke yngu kutafakari hasa mchana au usku sas unakuta mchz mara akupe stry za mademu au aweke redio sauti juu au aanze kukupnga kama anataka kuja na demu yaan changamoto n nyingi mkuu labda mkutane na mtu ambae mnaendana lifestyle kaka
 
Kweli privacy ni muhimu kukaa wawili ni wachache wanaoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…