Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Duuh huu udhaifuDinner ya kibabeView attachment 2402822
Nakuag na sehm zangu 3 tofaut tofaut siwek pesa zte sehm mojaHadi wewe unasahau tena.
Nikuoe namba za wataalamWadau wa ghetto hamjambo? Mimi nilianza maisha ya ghetto mwezi wa 5 mwaka huu.Naishi maeneo ya uswahilini sana.Sasa jana wakati narudi kutoka kwenye mishe zangu nikakuta nimeibiwa hela.Ni shilingi elfu hamsini tu, kiukweli ni hela ndogo sana lakini ninavyoipata kwa shida inasababisha iniume kwa kweli.Kitu kibaya zaidi wakati naanza maisha ya ghetto bi mkubwa alinionya sana kuweka hela cash chumbani nilipopanga .
Kuweka hela ndogondogo kwenye simu naona ni usumbufu haswa pale inapokatwa wakati wa kutoa. Inaniuma sana yani nimeingia kanisani huku nina kinyongo.
Muwe na Jumapili njema.
Mungu ni mwema mamaangu. Nimekukumbuka sana, gonga sana mlango haufunguliwiAnko Kipenzi, heshima yako anko.....za masiku tele anko..?
Udhaifu kivipiDuuh huu udhaifu
Kabisa Mkuu, ghetto ni mahala pa kuheshimika, ghetto ndipo unaporudi kupumzisha akili na mwili ukitoka kuzisaka so sio poa kulaza laza kila mtu. Wahuni wanasema,baraka huanzia mahala unapoamkia (Ghetto), so tupunguze hizi ingiz toka ili kulinda BLESSINGS za ghetto.[emoji109][emoji109][emoji109]Sentensi yako ya mwisho nimeipenda sana.
Oi mm nipo mtwango Karibu na mk aisee kumbe tupo wengi humu wa pande hiziNiko makambako,nyumba ina fensi na geti..room ni ya nje
Mashallah mtoto wa kiume mremboKukaa veto sio ngumu sana kiivo huwa ni maaamuzi yanayoshabiiana na ndoto za kujitegemea, ndoto za uraji huru ,ndoto za kutengeneza familia, ndoto za kazi binafsi ,ndoto zakupambana dhidi ya umaskini tegemezi, hiii ya kupanga geto wanetu wanaita kuchomoka kwa maza mi naiita kujitegemea kifikra na ndio mana ni ndoto na geto ni ndoto tu ukishajitegemea ukakosa chakula utaota mandoto tu[emoji23]
Safi sana bishoo[emoji109][emoji109]Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
Safi mkuu, itafutie meza table cloth/ kitambaa ufunike italeta mwonekano fulani mzuri utapendezesha rumUko sahihi mkuu,ila kumiliki vyote pia inasaidia,kuna time unakula zako maji na unacheck soccer kibingwa tu saaafi ukiwa ghetto.View attachment 2411849
Shukran saNa mkuuSafi sana bishoo[emoji109][emoji109]
Upo mtwango, unamfahamu mwanba mmoja anaitwa hilali mgingo!???Oi mm nipo mtwango Karibu na mk aisee kumbe tupo wengi humu wa pande hizi
Nakubali mkuu,ila huo ni mninga so huwa napenda kuiona rangi yake halisi.Safi mkuu, itafutie meza table cloth/ kitambaa ufunike italeta mwonekano fulani mzuri utapendezesha rum
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tuko shazi aisee hapo mtwango huwa napita nikielekea njombe townOi mm nipo mtwango Karibu na mk aisee kumbe tupo wengi humu wa pande hizi
Kila la kheriMungu akijaalia kesho naenda kuanza rasmi maisha ya geto, Dua zenu wakuu