Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
We jamaa una umri gani?! Nilikuwa nafanya dhikaka tu... maisha mafupi comrade, mche mwenyezi mungu.
Jamaa nina miaka mingi tu, maisha mafupi ndio maana yatupasa kula mbususu ipasavyo leta link hizo wew utaki bhas kaa nazoWe jamaa una umri gani?! Nilikuwa nafanya dhikaka tu... maisha mafupi comrade, mche mwenyezi mungu.
luchelele mzunguko,mnangani mzunguko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilinichukua muda sana kujua hiyo mzunguko Ina maana gani maana nilikuwa najua Kuna sehemu inaitwa mzunguko.Jamaa nina miaka mingi tu, maisha mafupi ndio maana yatupasa kula mbususu ipasavyo leta link hizo wew utaki bhas kaa nazo
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
30k-50k mbona parefu sana, apo jitahidi kuweka akiba ata 20k per months unajilipa mshahara 600k unakuwa mbali kushinda ata baadhi ya wafanyakazi..Oyaaaaa, wanangu wa magetoni niaaaaaje....
Ishu moja kwa Leo meeeen.
Tujarib kuset na kuziheshimu harakat tunazosukuma zitufikishe tunakohitaji.
Binafsi nlianza kwa kasi ya 4G kufukuzia malengo yangu,.. ila kwa sasa yameganda kdg kwa sababu nliendekeza sana wachuchu[emoji848][emoji19].
Mitikasi ninayofanya hunipa faida ya around 30k Hadi 50k kwa siku, ila kdg kibubu hakiongezeki uzito kwa sababu nimekuwa na matumizi ya ovyo ovyo.
Baada ya kupiga hesabu kwa wiki nzima nmegundua mademu wananipiga sana an.
Kwa sasa nmeamua kuacha kuwapishanisha wachuchu getto angalau nirudi kwa spidi ya uchakarikaji nlokuwa nayo before.
Wachuchu wanafelisha sana mishe
Ni kweli mkuu, kuna muda nafanya saving vizuri lakini haichukui muda nakirudia kibubu na kukikomba chote kwa ajili ya mambo ya kawaida sana. Na 90% ya hela yangu huenda kwa wanawake nnaotoka nao kwa maana hawaishi kujiliza shida.30k-50k mbona parefu sana, apo jitahidi kuweka akiba ata 20k per months unajilipa mshahara 600k unakuwa mbali kushinda ata baadhi ya wafanyakazi..
Unawaendekeza au laa hujiamini, ukiwa na msimamo na pesa zako kati ya hao mams atakuwepo tu wakukuelewa bila kujali kuhonga kwako.Ni kweli mkuu, kuna muda nafanya saving vizuri lakini haichukui muda nakirudia kibubu na kukikomba chote kwa ajili ya mambo ya kawaida sana. Na 90% ya hela yangu huenda kwa wanawake nnaotoka nao kwa maana hawaishi kujiliza shida.
Kwa sasa nimeamua jambo moja.... Nakuwa mgumu angalau niendeleze ujenzi wa pango langu lililosimama kwa muda
Yeah, hongera kwa mitikasi mzee. Unapambana sana.Oyaaaaa, wanangu wa magetoni niaaaaaje....
Ishu moja kwa Leo meeeen.
Tujarib kuset na kuziheshimu harakat tunazosukuma zitufikishe tunakohitaji.
Binafsi nlianza kwa kasi ya 4G kufukuzia malengo yangu,.. ila kwa sasa yameganda kdg kwa sababu nliendekeza sana wachuchu[emoji848][emoji19].
Mitikasi ninayofanya hunipa faida ya around 30k Hadi 50k kwa siku, ila kdg kibubu hakiongezeki uzito kwa sababu nimekuwa na matumizi ya ovyo ovyo.
Baada ya kupiga hesabu kwa wiki nzima nmegundua mademu wananipiga sana an.
Kwa sasa nmeamua kuacha kuwapishanisha wachuchu getto angalau nirudi kwa spidi ya uchakarikaji nlokuwa nayo before.
Wachuchu wanafelisha sana mishe
Kuwa na pisi nyingi ni slow panchaOyaaaaa, wanangu wa magetoni niaaaaaje....
Ishu moja kwa Leo meeeen.
Tujarib kuset na kuziheshimu harakat tunazosukuma zitufikishe tunakohitaji.
Binafsi nlianza kwa kasi ya 4G kufukuzia malengo yangu,.. ila kwa sasa yameganda kdg kwa sababu nliendekeza sana wachuchu[emoji848][emoji19].
Mitikasi ninayofanya hunipa faida ya around 30k Hadi 50k kwa siku, ila kdg kibubu hakiongezeki uzito kwa sababu nimekuwa na matumizi ya ovyo ovyo.
Baada ya kupiga hesabu kwa wiki nzima nmegundua mademu wananipiga sana an.
Kwa sasa nmeamua kuacha kuwapishanisha wachuchu getto angalau nirudi kwa spidi ya uchakarikaji nlokuwa nayo before.
Wachuchu wanafelisha sana mishe
Huku ni kupoteza uhalisia wa gheto, gheto linakuwa kama Go down kweli! [emoji848]Mkuu hapa ukitaka kuchota maji kwenye ndoo unapanda juu ya friji au kwenye hiyo meza ya kioo hapo ndugu...?View attachment 2402769
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sisi tunaouza urembo wa akina dada?WANA WA MAGHETTONI NIAJE !!!??
Jaribu kuwekeza kwenye engine (mashine) katika uzalishaji wako.
Hapa nazungumzia kwa sisi ambao tuko maghetto na hatuja ajiriwa yaani tunapambana tu wenyewe. Pia kwa wale ambao vichwa vyetu haviwezi biashara za kuuza bidhaa direct hasa za duka mfano kuuza duka au genge. Unajua sio wote tuna huo uwezo (mfano mm nikiwa na genge watoto watamaliza pipi zote na biscuits plus juice, maana napenda sana watoto wananiita anco wa mtaa)
Twende pamoja sasa maana siko viziri katika kuelezea, na nitakacho kieleza sio kigeni kabisa ila ni life experience yangu ya vitu nilivyofanya na ninavyoendelea kufanya hivyo napenda kushare vitu kidogo humu kuna watu vinaweza kuwasaidia kidogo, si unajua wana kupeana michongo.
Swali.
Je ni engine gani (mashine gani) ukiipata unaweza kutoboa maisha!!?????
Naamini ukifikiria hilo swali vizuri ndo utaanza kupata mwanga wa kile ninacho tamani kukuambia au kukuelezea. Fikiria kitu au kifaa cha kutendea kazi zako ambacho ukikipata unaweza kubadilisha maisha kimtindo kwa kukuongezea uzalishaji na kukuongezea kipato.
Nashauri kama kuna mishe unafanya ya uzalishaji na inakupa kipato (hasa uliyojiajiri mwenyewe) jaribu kuiwekezea kwenye mashine yake ikusaidie katika uzalishaji, inaweza kuku saidia kuongeza kipato.
Mifano iliyo hai.
1)kama ni mkulima mdogo ukiongeza pump ya kumwagilia na mashine ya kupalilia unaweza kuongeza kipato kimtindo maana bustani yako au shama lako litakua la kilimo mda wite mpaka kiangazi. Hivyo naamini uzalishaji utaongezeka. Nimepitia hii kipindi niko form 3 mzee alikua na mwanameka pump unakanyaga na miguu, ilisaidia kumwagilia nyanya kiangazi( Njombe-makambako). Saivi hazitumiki sana kwasababu zipo za petrol na diesel kwa wingi.
2) Kwa wavunja mawe.
Huku sasa ndio niliko jiwekeza mm. Kama unafanya kazi ya kuvunja mawe na kuuza basi nisikilize vizuri kwa sababu mm ndiko niliko na experience kubwa nimeipata hapo.
Ukiwa na compressor mashine ya kutobolea miamba itakusaidia sana tena sana kwenye shughuli nzima. Issue ni kua ina bei kubwa kidogo. Lkn kwenye uzalisha imenisaidia sana kuanzi milioni 8 na kuendelea.
View attachment 2422779View attachment 2422781View attachment 2422778View attachment 2422788
3). Kuponda kokoto.
Pia kama ww ni mpondaji wa kokoto unaweza kuongeza stone crusher katika kazi zako. Sio lazima liwe kubwa hada dogo la kuzalisha cubic metre 8 kwa siku linatosha sana kujipatia kipato. Tena unaweza kununua used mtaani kwa gharana nafuu (lkn likiwa spana mkononi sana utajuta).
View attachment 2422790View attachment 2422792View attachment 2422791
4). Chain saw ya kukatia miti. Kwa wale wanaoishi maeneo ya upasulishaji mbao wanajua hii kitu umuhimu wake. Bei yake nafikili ni kuanzia milioni 1.7 mpaka 2 na kuendelea. Hii unaweza kununua na ukampa kijana akakuletea mauzo yake au unaweza kukodisha. Ukimpa kijana kwa wiki anakuletea tsh. 70000 au 60000. ila kama ukiishika mwenyewe utapiga hela zaidi. ( ila sasa maisha ya pori yatakuhusu kwasababu hakuna miti mjini).View attachment 2422799
5) Kwa vijana waliopita garaje, air compressor za kujazia upepo kwenye magari na mashine ya ku-apply grease (grease pump) itakua ni option nzuri kwako. Unaweza kuweka nje ya sehemu unayofanyia kazi au ukaweka sehemu nzuri kwa biashara na ukaingiza shilingi miamia daily, sio mbaya sana kijana ukawa na kakitega uchumi pembeni. Hivyo vifaa unaweza ku afford kama mpambanaji haviuzwi ghali sana.
View attachment 2422806View attachment 2422807
6). Kama unaosha magari kwa mkono kwa nini usinunue jet washer (pressure washer). Kwanini usijaribu kununua jet washer uongeze uzalishaji wako na ufanisi wa kazi yako. View attachment 2422813View attachment 2422814
7). Kwa wanaofua nguo(Dobi). Unaweza kuongeza mashine ya kufulia nguo drycleaner itakayo kusaidia kufua nguo nyingi kwa wakati mmoja na kwa uhakika zaidi wateja wako wakafurahia kazi ya mikono yako. View attachment 2422819
Wadau, unajua kuna kazi ni za kawaida tu, lkn ukiziongezea uzalishaji kwa kutumia mashine husika unaweza kuongeza uzalishaji na kipato ukaishi viziri tu. Kuna mda mda mchawi anakua pesa ila kuna mda mchawi ni ww mwenyewe hujajiwekeza kwenye kazi yako mwenyewe. Basi tuanze kufikiria kuwekezea ipasavyo kwenye mishe tunazo fanya.
Asanteni sana, mtanisamehe kwa uandishi mbovu. Na nimeandika kwa experience yangu mwenyewe kupitia ideas za mtaani tu, so am very sorry if i offended you through this.
Pia nilitamani nimpate mwana jf mmoja humu ambae yupo ghetto na hajabanwa sana na michongo yake aje niliko tufundishane ideas mbalimbali. Atakaa kwangu kwa wiki moja au mbili hivi na nauli nitamtumia go and return. (kwa urafiki tu sina nia mbaya). Kwangu utajifunza biashara ya mawe na kokoto pia utajifunza matumizi ya explosives hada baruti na AMFO.
THANKS VERY MUCH (my names LUHANGA ATUKUZWE) from Makambako Njombe.
atukuzweluhanga@gmail.com
Facebook. Atukuzwe Luhanga
Phone. 0765135468.
Hapo sasa jau, sijajua kama kuna mashine kukwangulia kucha na kupaka rangi kama vipo jaribu kununua hivyo. Wateja wako wataonjoy.Sisi tunaouza urembo wa akina dada?
Hyo hela unayoingiza ni nzuri sana chief kaaa kitaalamuOyaaaaa, wanangu wa magetoni niaaaaaje....
Ishu moja kwa Leo meeeen.
Tujarib kuset na kuziheshimu harakat tunazosukuma zitufikishe tunakohitaji.
Binafsi nlianza kwa kasi ya 4G kufukuzia malengo yangu,.. ila kwa sasa yameganda kdg kwa sababu nliendekeza sana wachuchu🤔😒.
Mitikasi ninayofanya hunipa faida ya around 30k Hadi 50k kwa siku, ila kdg kibubu hakiongezeki uzito kwa sababu nimekuwa na matumizi ya ovyo ovyo.
Baada ya kupiga hesabu kwa wiki nzima nmegundua mademu wananipiga sana an.
Kwa sasa nmeamua kuacha kuwapishanisha wachuchu getto angalau nirudi kwa spidi ya uchakarikaji nlokuwa nayo before.
Wachuchu wanafelisha sana mishe
Unasomeka vyema kutokea mitaa ya Magegele,Kivavi,Mjimwema au Majengo.WANA WA MAGHETTONI NIAJE !!!??
Jaribu kuwekeza kwenye engine (mashine) katika uzalishaji wako.
Hapa nazungumzia kwa sisi ambao tuko maghetto na hatuja ajiriwa yaani tunapambana tu wenyewe. Pia kwa wale ambao vichwa vyetu haviwezi biashara za kuuza bidhaa direct hasa za duka mfano kuuza duka au genge. Unajua sio wote tuna huo uwezo (mfano mm nikiwa na genge watoto watamaliza pipi zote na biscuits plus juice, maana napenda sana watoto wananiita anco wa mtaa)
Twende pamoja sasa maana siko viziri katika kuelezea, na nitakacho kieleza sio kigeni kabisa ila ni life experience yangu ya vitu nilivyofanya na ninavyoendelea kufanya hivyo napenda kushare vitu kidogo humu kuna watu vinaweza kuwasaidia kidogo, si unajua wana kupeana michongo.
Swali.
Je ni engine gani (mashine gani) ukiipata unaweza kutoboa maisha!!?????
Naamini ukifikiria hilo swali vizuri ndo utaanza kupata mwanga wa kile ninacho tamani kukuambia au kukuelezea. Fikiria kitu au kifaa cha kutendea kazi zako ambacho ukikipata unaweza kubadilisha maisha kimtindo kwa kukuongezea uzalishaji na kukuongezea kipato.
Nashauri kama kuna mishe unafanya ya uzalishaji na inakupa kipato (hasa uliyojiajiri mwenyewe) jaribu kuiwekezea kwenye mashine yake ikusaidie katika uzalishaji, inaweza kuku saidia kuongeza kipato.
Mifano iliyo hai.
1)kama ni mkulima mdogo ukiongeza pump ya kumwagilia na mashine ya kupalilia unaweza kuongeza kipato kimtindo maana bustani yako au shama lako litakua la kilimo mda wite mpaka kiangazi. Hivyo naamini uzalishaji utaongezeka. Nimepitia hii kipindi niko form 3 mzee alikua na mwanameka pump unakanyaga na miguu, ilisaidia kumwagilia nyanya kiangazi( Njombe-makambako). Saivi hazitumiki sana kwasababu zipo za petrol na diesel kwa wingi.
2) Kwa wavunja mawe.
Huku sasa ndio niliko jiwekeza mm. Kama unafanya kazi ya kuvunja mawe na kuuza basi nisikilize vizuri kwa sababu mm ndiko niliko na experience kubwa nimeipata hapo.
Ukiwa na compressor mashine ya kutobolea miamba itakusaidia sana tena sana kwenye shughuli nzima. Issue ni kua ina bei kubwa kidogo. Lkn kwenye uzalisha imenisaidia sana kuanzi milioni 8 na kuendelea.
View attachment 2422779View attachment 2422781View attachment 2422778View attachment 2422788
3). Kuponda kokoto.
Pia kama ww ni mpondaji wa kokoto unaweza kuongeza stone crusher katika kazi zako. Sio lazima liwe kubwa hada dogo la kuzalisha cubic metre 8 kwa siku linatosha sana kujipatia kipato. Tena unaweza kununua used mtaani kwa gharana nafuu (lkn likiwa spana mkononi sana utajuta).
View attachment 2422790View attachment 2422792View attachment 2422791
4). Chain saw ya kukatia miti. Kwa wale wanaoishi maeneo ya upasulishaji mbao wanajua hii kitu umuhimu wake. Bei yake nafikili ni kuanzia milioni 1.7 mpaka 2 na kuendelea. Hii unaweza kununua na ukampa kijana akakuletea mauzo yake au unaweza kukodisha. Ukimpa kijana kwa wiki anakuletea tsh. 70000 au 60000. ila kama ukiishika mwenyewe utapiga hela zaidi. ( ila sasa maisha ya pori yatakuhusu kwasababu hakuna miti mjini).View attachment 2422799
5) Kwa vijana waliopita garaje, air compressor za kujazia upepo kwenye magari na mashine ya ku-apply grease (grease pump) itakua ni option nzuri kwako. Unaweza kuweka nje ya sehemu unayofanyia kazi au ukaweka sehemu nzuri kwa biashara na ukaingiza shilingi miamia daily, sio mbaya sana kijana ukawa na kakitega uchumi pembeni. Hivyo vifaa unaweza ku afford kama mpambanaji haviuzwi ghali sana.
View attachment 2422806View attachment 2422807
6). Kama unaosha magari kwa mkono kwa nini usinunue jet washer (pressure washer). Kwanini usijaribu kununua jet washer uongeze uzalishaji wako na ufanisi wa kazi yako. View attachment 2422813View attachment 2422814
7). Kwa wanaofua nguo(Dobi). Unaweza kuongeza mashine ya kufulia nguo drycleaner itakayo kusaidia kufua nguo nyingi kwa wakati mmoja na kwa uhakika zaidi wateja wako wakafurahia kazi ya mikono yako. View attachment 2422819
Wadau, unajua kuna kazi ni za kawaida tu, lkn ukiziongezea uzalishaji kwa kutumia mashine husika unaweza kuongeza uzalishaji na kipato ukaishi viziri tu. Kuna mda mda mchawi anakua pesa ila kuna mda mchawi ni ww mwenyewe hujajiwekeza kwenye kazi yako mwenyewe. Basi tuanze kufikiria kuwekezea ipasavyo kwenye mishe tunazo fanya.
Asanteni sana, mtanisamehe kwa uandishi mbovu. Na nimeandika kwa experience yangu mwenyewe kupitia ideas za mtaani tu, so am very sorry if i offended you through this.
Pia nilitamani nimpate mwana jf mmoja humu ambae yupo ghetto na hajabanwa sana na michongo yake aje niliko tufundishane ideas mbalimbali. Atakaa kwangu kwa wiki moja au mbili hivi na nauli nitamtumia go and return. (kwa urafiki tu sina nia mbaya). Kwangu utajifunza biashara ya mawe na kokoto pia utajifunza matumizi ya explosives hada baruti na AMFO.
THANKS VERY MUCH (my names LUHANGA ATUKUZWE) from Makambako Njombe.
atukuzweluhanga@gmail.com
Facebook. Atukuzwe Luhanga
Phone. 0765135468.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa nyimbo hapo uwanja wa uhuru kwa mbeleUnasomeka vyema kutokea mitaa ya Magegele,Kivavi,Mjimwema au Majengo.
Umesema vyema Kaka, bless upWANA WA MAGHETTONI NIAJE !!!??

Ndio mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]luchelele mzunguko,mnangani mzunguko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilinichukua muda sana kujua hiyo mzunguko Ina maana gani maana nilikuwa najua Kuna sehemu inaitwa mzunguko.
Kumbe hiyo mzunguko ni Ile inazunguka pale samaki.
Naamin mkuu✊Hyo hela unayoingiza ni nzuri sana chief kaaa kitaalamu