Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Kila la kheri mkuuDah kesho.tarehe moja siku ya kodi kudadekiii sio poa wakulungwa kichwa kinawaka moto kesho nisebenze nipate 50K niongezee nilipe kodi[emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri mkuuDah kesho.tarehe moja siku ya kodi kudadekiii sio poa wakulungwa kichwa kinawaka moto kesho nisebenze nipate 50K niongezee nilipe kodi[emoji1][emoji1]
ShukraN mkuu inabd kufos jion ipatkaneKila la kheri mkuu
Na mm nalipa tarehe moja kodi ya miezi 3 laki na nusuDah kesho.tarehe moja siku ya kodi kudadekiii sio poa wakulungwa kichwa kinawaka moto kesho nisebenze nipate 50K niongezee nilipe kodi[emoji1][emoji1]
Mm nalipa miezi sita mkuu 300K kaka tutavuka salama tu kipndi hikiNa mm nalipa tarehe moja kodi ya miezi 3 laki na nusu
Kuvuka tunavuka wakuu....Thumb upMm nalipa miezi sita mkuu 300K kaka tutavuka salama tu kipndi hiki
Hua najiuliza, hv ukiwa huna hela unapata wapi confidence ya kumuongelesha mwanamke? Nina miaka kadhaa hapa mambo yangu yamekwama, hela ya kula naipata kwa tabu,, ndan ya hii miaka yote sjawahi jisumbua kumtongoza binti yyte kwa sababu huwa cpendi dharau za reja reja.Uko sahihi Mkuu, kwanza hata issue ya kuwa na mahusiano mengi nayo haijakaa poa si tu kwa kijana mtafutaji ila hata kwa mtu yeyote yule. Ukiachilia mbali kwamba unaathiri uchumi wa huyu mtafutaji,pia kuna athari nyingi sana nyinginezo ni za kiroho pia.
Sasa mwizi si anaweza kukiinua akaondoka nacho? Akifika kwake anakivunja kwa nyundoSikuhizi kuna vibubu vya kidijitali ninampango ninunue hiki kibubuView attachment 2427440
Endelea kukaza.yan hadi kielewekeKaribuni geto wakuu, ndo tunaanza anzaView attachment 2434556
Kuna wana unakuta hana mahala kukaa pa kueleweka, hata kula yake ya kuunga unga ila kila mwanamke anaekatiza mbele yake anataka kurula nae. Huko nako ni kuchanganyikiwa.Hua najiuliza, hv ukiwa huna hela unapata wapi confidence ya kumuongelesha mwanamke? Nina miaka kadhaa hapa mambo yangu yamekwama, hela ya kula naipata kwa tabu,, ndan ya hii miaka yote sjawahi jisumbua kumtongoza binti yyte kwa sababu huwa cpendi dharau za reja reja.
Watu hawatakiwi kukiona unakificha chobingoSasa mwizi si anaweza kukiinua akaondoka nacho? Akifika kwake anakivunja kwa nyundo
Kweli tumetofautiana aseeKuna wana unakuta hana mahala kukaa pa kueleweka, hata kula yake ya kuunga unga ila kila mwanamke anaekatiza mbele yake anataka kurula nae. Huko nako ni kuchanganyikiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah kesho.tarehe moja siku ya kodi kudadekiii sio poa wakulungwa kichwa kinawaka moto kesho nisebenze nipate 50K niongezee nilipe kodi[emoji1][emoji1]
Sawa inakuja wakuuShusha vitu mkuu
KUISHI GETO. (A) CHUONI.Shusha vitu mkuu
Inaendelea sehemu ya pili.........KUISHI GETO. (A) CHUONI.
Wasalam, awali niliahidi kuwaletea stori yangu kuhusu kuhamia getho.
Nikiwa chuo naanza wakati huo nikajipanga ya kuwa nikihitimu tu basi nikajitegemee. Huu uzi niliujua nikiwa second year.
Hivyo nikaanza nunua asset za ndani yaani vyombo ambavyo nitasafirisha hadi home nilikotaka kuanzisha makazi pale nikihitimu. So nilikuwa makini sana kuvitunza ili vifike home vikiwa bull bull.
Home na mkoa nilikokuwa chuo ni km kama 1000 hivi.
Nikawa nikipata boom nanunua vyombo. Kitanda sikununua kwani kule kwetu mbao na vitanda ni bei cheee. Mwaka wa kwanza nilinunua tu godoro kitanda nilikikuta. Mwaka wa tatu nilipohamia palikuwa na kila kitu. Godoro langu nililonunua kwa mama muhindi mitaa ya uhuru pale mwanza super banco kwa Sh laki moja na elfu tano nikaliweka stoo jipya jipya tu.
Nikajifunza heshima ya pesa na jinsi ya kujiheshimu mimi kama mimi.
Maisha ya geto kichuo chuo sio pwa. Bora ukose bundle lakini uhakika wa msosi uwepo.
Nilikuwa nikitoka likizo kwenda chuo basi nabeba nafaka yoyote ile kufanikisha mamisosi.
Afu nilikuwa na hii tabia. Mtaani si hakutabiriki nikaamua kila likizo ile ya kuingia mwaka mwingine nikirudi home basi asilimia 80 ya nguo nilikuwa naacha nguo zangu home. Nikirudi chuo nitanunua nyingine. Lengo lilikuwa nikirud mtaani nisiwe na stress za mavazi kwa mwanzoni. Nibaki kuwaza yale mahitaji mengine muhimu mawili ya binadamu yaani chakula (food), getho(shelter). Clothes yaani (milozi) hapa nikawa nimesolve. Nawafundisha nini akati mwalimu wako wa historia alikufundisha kuhusu mahitaji muhimu ya binadamu. Ahhh mikono inauma kutype ila haina noma.
Yaani bajeti ya msosi na matumizi mengine nilikuwa napiga kabla ya kusign boom na nikisha sign hiyo bajeti inapigwa review kali kufanyiwa uhakiki. Kila nilichonunua sikuwa najutia. Pesa ya boom tamu na me utamu ulizidi kwani nilinunulia kila kitu stahiki. .
Kiukweli nilipata shida miezi miwili ya first year ila baada ya hapo sijawahi kukosa uhakika wa kula.
Basi baada ya kuua UE na kumaliza mazaga ya research kwa mwaka wa mwisho basi nikawa nipangilie naondokaje.
Uzuri me sikuwaga na aibu nikawaambia wanahostel oya anayetaka kuniachia vijiko au kitu chochote kizuri asitupe. Basi nilipewa mivyombo hatari jumlisha na vyangu.
Nikanunua shangazi kaja panga mavyombo vizuri sikuacha kitu hadi upawa na miiko.
Idea ya kutouza chchte nilipewa na bro angu hv kwao ni wa kishua hatari. Unajua wakishua basi alikuwa ndio yule. Ila jamaa kila kitu alirudi nacho kwao. Yeye alipakiza mizigo kwenye gari tupu la mizigo linalorudi kwao. Huyu jamaa alini inspire sana. Mzee wake alimnunulia mazaga ya geto ya milioni moja na nusu lakini hakuuza hata kimoja. Alirudisha kwao. Alilipia usafiri elfu 80 tu toka huko hadi nyanda za juu kusini.
Nb: Kwa mwanachuo yeyote anayesoma hapa namshauri usiuze hiyo gesi hiyo bakuli hiyo meza na hako kakitanda. Mtaani ni kwingine kabisa. Ni aheri uingie mtaani uanze kuwa na mawazo ya ufanye mishe gani au uhamie wapi. Sio unawaza kitanda godoro utapata wapi. Unaanza kuwaza nitaanzaje hata ndoo sina. Maksai mkubwa wewe ukute hata gesi yaki ya oryx ya kilo hamsini ulimgawia kimanzi chako cha first year. Acheni kuigana huko chuo pumbavu zenu. Yaani fika mtaani ili hata ikatokea umepata elfu 30 unahama hapo kwa baba ako. Hama hapo kwenu wazazi wakumiss we mbwa. Wanachuo wengi ni watoto wa maskini ukweli mchungu. Mwenyewe nilikuwa chuo najua kila kitu.
TUENDELEE
Nilifunga mizigo vzr ilikuwa mingi ila kwa kuwa nilijiandaa taratibu haikunipa shida. Nilifikiria nipakize na mimi nijae kwny fuso nikaona so bora nichukue basi.
Mizigo nililipia elfu 18 huwezi amini ilikuwa mizito ila nilipanga vzr aise. Yaani ile nimeifikisha nyumbani kwa wazazi hata siamini.
Nikamuonesha mzee mizigo yangu nikawa namtolea vyombo ajue. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee nikamfungulia shangazi lile. vipawa na miiko yangu miwili ilikuwa chini kabisa. Basi mzee kuiona alicheka sana akasema hadi upawa. Ila akasema safi ni bora kuliko kuuza.
Kisaikolojia nikaona tu mzee kajua huyu mbwa hana siku nyingi hapa home.
*****
Ninakuja siyo mida wakuu itaendelea.....
.