Ulianzaje kukaa gheto?

Utapigwa bei kwa bidhaa hiyo hiyo
 
Spices chini
Mboga- friza
Au huna friji? Basi hata la kwenu hukuwa unaona nyanyq zinakaa chini na mboga zinakaa juu?
Hayaa pikaa nakujaa kulaaa. Afu mie nachananyaga friji na friza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushambaa huyu bas tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa yametosha , hayo , tufikirieni kununua viwanja vya kujenga nyumba , lets tuambizaneni maeneo gani yanafaaa kununua kiwanja for future use !! Taja na mkoa uliko. Mm niko moshi ,. Maeneo ya mjohoroni ni kuzuri maana ni startegic for now and later
 
@Depal bhana[emoji16],

Sasa utapika kawali nusu na katakushinda kumaliza[emoji16]

Friji linajieleza[emoji1787]
viporo hapana aisee
Heri nipike robo kiishe 😂


Hilo friji linajaaga juu tu
Chini hata kwa bahati mbaya sikumbuki
Nijaze nyanya? Nazifanyia nini 🤣
 
Kujenga ni uoga wa maisha
 
Hayaa pikaa nakujaa kulaaa. Afu mie nachananyaga friji na friza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushambaa huyu bas tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Friji lina upande wa friza na friji ya kawaida

Friza utatunza samaki, nyama na nduguze
Friji chini utaweka vitu ambavyo havitakiwi kuganda, nyanya na nduguze.
 
Mie nawaza nikaanzishe kijiji sehemu yeyote isiyo na mwenyewe.
 
viporo hapana aisee
Heri nipike robo kiishe [emoji23]


Hilo friji linajaaga juu tu
Chini hata kwa bahati mbaya sikumbuki
Nijaze nyanya? Nazifanyia nini [emoji1787]
Robo unamaliza??

Mie ningekuwa naishi mwenyewe aisee nisingekuwa napika[emoji16]

Ninaoishi nao wananivumilia ninavyowalisha[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…