Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Waja mna maneno sana humu

Aisee respect hustling za mtu.

Awe gheto bovu bovu just give good energy.

Msilete masarau wakati nyinyi na mna free ride tangu mnazaliwa.

Huu Uzi wa wapambanaji wanaoanza toka chini

My dedication ni started from the bottom by Drake .

Wakati mnaendalea kupambana anzeni na mbishe za kusaka viwanja.

Mwaka huu mfanye positive sio kuwaza kuwala Malaya.

Mungu atusimamie mwaka huu uwe na mafanikio kwa wapambanaji wote humu ndani na kitaa
 
Back
Top Bottom