Ulianzaje kukaa gheto?

Mkoani sina mkuu, kama kuna vitanda vya kijanja mnavijua niambieni nichukue kimoja.
Kama unataka kitanda imara na kizuri usiwe na haraka, kwa Dar wapigaji ni wengi sana mwanangu, unanunua kitanda baada ya miezi 4 tu unaanza kuskia wadudu wanapokezana Kula Mbao

Jaribu kuongea na mshkaji huyo wa Iringa ili uone kama anaweza kukutolea kitu unachokitaka na kama mtafikia makubaliano basi uagize kwake

Na kama itashindikana basi itabidi umcheki jamaa mwingine ye yupo Iringa pia na wala hanaga shida, unamcheki mnayajenga kisha anakupa terms zake and conditions basi unakaa kusubiri Mali yako ambayo ni kweli Mninga

ila kama hizo condition zitakuwa ngumu basi tafuta washkaji wenye mazoea na mafundi wa Dar wakupeleke eneo la tukio ili usipigwe, Dar kuna mbao za ajabu sana ndugu yangu, ukikuta imepigwa Rangi unasema furniture sindo hii sasa...! Sasa subiri balaa lianze
 

Hii ni kweli mkuu. Kitanda changu kinaliwa na wadudu na hata sielewi wametoka wapi na wameingiaje. Nikipata hela nabadilisha kwakweli.
 
Kwa Dar ni halali, ila mkoani kwetu ni 450k - 500k. Sema gharama ya usafiri ndo hapo sasa.
 
Hivi kwa tusioweka stand ya friji, tuko salama?


Wadudu hapo shida ni mbao
Ndio maana wengine walijiamulia chuma kama wako hospital [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha chuma umpate fundi ajue kukiundaa ni hatareeee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaaa nikae nyumba yenye wapangaji wengi, si ndo ntakua maongezi ya kila vikao vyao.

Nashukuru nilipo kila mtu ana mind bussiness zake. Afu sio majobless, jobless n mie pekee angu.
Jobless na umepanga[emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha chuma umpate fundi ajue kukiundaa ni hatareeee.
😂😂 aweeee

Kinabowaaaa
Nimeanzia nacho maisha 2020
2022 nimekiondoa
Na nilikimix na miguu ya mbao lkn with a time nilikichoka tu
 
Aisee,
 
Hii ni kweli mkuu. Kitanda changu kinaliwa na wadudu na hata sielewi wametoka wapi na wameingiaje. Nikipata hela nabadilisha kwakweli. View attachment 2471899
Ndio hivo mkuu hizi mbao za Dar wanatupiga sana, hao wadudu wakianza Kula Mbao ule muda ambao umejituliza unaongea na halmashauri yako ya Akili wanakela sana

Pamoja na hao wadudu wala mbao mkuu, ila una gheto la kibabe Sana [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…