Ulianzaje kukaa gheto?

Mkuu Kutokupenda kwako kulalia kitanda hakufanyi ushangae wanaolalia as if ni ajabu, ata huko kwenu ulipokuwa unaishi umeacha ndugu zako wanalalia vitanda na inawezekana nawewe ulikuwa mmoja wao
Bila shaka umeandika ukiwa calm, hujapanick sivyo?
 
Bila shaka umeandika ukiwa calm, hujapanick sivyo?
Nope...! Sijapanick ila nimepata mshangao, vile umeandika ni kana kwamba watu kulala kwenye kitanda ni Jambo geni au la ajabu kisa tu mwenzetu umeamua kulala kwenye pellets
 
Nope...! Sijapanick ila nimepata mshangao, vile umeandika ni kana kwamba watu kulala kwenye kitanda ni Jambo geni au la ajabu kisa tu mwenzetu umeamua kulala kwenye pellets
Relax, simply ni namna ya uandishi tu.
 
Mwenzio nilimpa hilo la chini hata miezi sita bado,aende nalo akaanzie maisha chuo akagoma[emoji16]

Eti hawezi safirisha godoro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa mnoooo.
Aaaah wee kusafirishaa kazi eti.
 
Asante sana.
Je kwenye zile sofabed ambazo unakuta pande zote kimezungushiwa vitambaa ntawezaje kuona hayo mabaka??
Ni vigumu sana kwa fundi kukuwekea mninga katika sofabed. Labda kama ukiwa makini sana mwambie akifumue hata mahala padogo tu kwasababu kurudishia ni rahisi. Pia hata uzito,ingawa mbao kama gams nazo ni nzito sana.
 
[emoji134] Mimi nilikikuta tu mtaani nikakipenda nikabeba. Hakijamaliza mwaka, kama ndio hivyo nahisi ntapigwa tukio siku si nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi ni waongo sana.
Ni sawa na makabati yanayopakwa rangi nyeupe.
Pale wanatumia MDF, Plywood,Marine au Pine
Msasa kwa wingi, rangi afu unauziwa.
 
Ni vigumu sana kwa fundi kukuwekea mninga katika sofabed. Labda kama ukiwa makini sana mwambie akifumue hata mahala padogo tu kwasababu kurudishia ni rahisi. Pia hata uzito,ingawa mbao kama gams nazo ni nzito sana.
Sawa sawa
 
Kama una wasiwasi kanunue JKT wana ofisi ipo keko, wale wanatumia mbao yenyewe maana wanachukua kutoka kwenye mapori yao wenyewe. Bei zao ni ghali pia na bahati mbaya contacts za muhusika nimepoteza maana nilienda kwa ishu zangu tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…