King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Asee hv unawezaje?? Mm nikilalia godoro zaid ya moja naamka nimechoka kinoma yan!!!Binafsi napenda kulala juu juu magodoro mawili Dodomia[emoji123][emoji3059]View attachment 2472940
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee hv unawezaje?? Mm nikilalia godoro zaid ya moja naamka nimechoka kinoma yan!!!Binafsi napenda kulala juu juu magodoro mawili Dodomia[emoji123][emoji3059]View attachment 2472940
Bila shaka umeandika ukiwa calm, hujapanick sivyo?Mkuu Kutokupenda kwako kulalia kitanda hakufanyi ushangae wanaolalia as if ni ajabu, ata huko kwenu ulipokuwa unaishi umeacha ndugu zako wanalalia vitanda na inawezekana nawewe ulikuwa mmoja wao
Nope...! Sijapanick ila nimepata mshangao, vile umeandika ni kana kwamba watu kulala kwenye kitanda ni Jambo geni au la ajabu kisa tu mwenzetu umeamua kulala kwenye pelletsBila shaka umeandika ukiwa calm, hujapanick sivyo?
Relax, simply ni namna ya uandishi tu.Nope...! Sijapanick ila nimepata mshangao, vile umeandika ni kana kwamba watu kulala kwenye kitanda ni Jambo geni au la ajabu kisa tu mwenzetu umeamua kulala kwenye pellets
Mwenzio nilimpa hilo la chini hata miezi sita bado,aende nalo akaanzie maisha chuo akagoma[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba godoro 1 dyadyaa puliiizzzz.
Aisee mie hiyo ndiyo furaha yangu,nikilala kushtuka asubuhi.Asee hv unawezaje?? Mm nikilalia godoro zaid ya moja naamka nimechoka kinoma yan!!!
Sofabed wanaweka plywood au marine zilizotumikaAsante sana.
Je kwenye zile sofabed ambazo unakuta pande zote kimezungushiwa vitambaa ntawezaje kuona hayo mabaka??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa mnoooo.Mwenzio nilimpa hilo la chini hata miezi sita bado,aende nalo akaanzie maisha chuo akagoma[emoji16]
Eti hawezi safirisha godoro
[emoji23] shuka linakaaje sasa?Binafsi napenda kulala juu juu magodoro mawili Dodomia[emoji123][emoji3059]View attachment 2472940
[emoji134] Mimi nilikikuta tu mtaani nikakipenda nikabeba. Hakijamaliza mwaka, kama ndio hivyo nahisi ntapigwa tukio siku si nyingi.Sofabed wanaweka plywood au marine zilizotumika
Ghetto kali [emoji106]Hii ni kweli mkuu. Kitanda changu kinaliwa na wadudu na hata sielewi wametoka wapi na wameingiaje. Nikipata hela nabadilisha kwakweli. View attachment 2471899
Vitanda vya chuma hata mimi sijawahi vielewa.Sijawaigi kutamani kitanda cha chuma,
Sijui kinakuwaje,
Lkn kila mtu na machaguo yake
Navisha cover halafu shuka linakaa vizuri linaenea
Ni vigumu sana kwa fundi kukuwekea mninga katika sofabed. Labda kama ukiwa makini sana mwambie akifumue hata mahala padogo tu kwasababu kurudishia ni rahisi. Pia hata uzito,ingawa mbao kama gams nazo ni nzito sana.Asante sana.
Je kwenye zile sofabed ambazo unakuta pande zote kimezungushiwa vitambaa ntawezaje kuona hayo mabaka??
Jamaa bado najiuliza hlo ghetto lako lipo vipi yaan sielewi ni master au lipo vipi daah ushamba mzigo sanaHii ni kweli mkuu. Kitanda changu kinaliwa na wadudu na hata sielewi wametoka wapi na wameingiaje. Nikipata hela nabadilisha kwakweli. View attachment 2471899
Mafundi ni waongo sana.[emoji134] Mimi nilikikuta tu mtaani nikakipenda nikabeba. Hakijamaliza mwaka, kama ndio hivyo nahisi ntapigwa tukio siku si nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawaNi vigumu sana kwa fundi kukuwekea mninga katika sofabed. Labda kama ukiwa makini sana mwambie akifumue hata mahala padogo tu kwasababu kurudishia ni rahisi. Pia hata uzito,ingawa mbao kama gams nazo ni nzito sana.
Wala[emoji134] Mimi nilikikuta tu mtaani nikakipenda nikabeba. Hakijamaliza mwaka, kama ndio hivyo nahisi ntapigwa tukio siku si nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una wasiwasi kanunue JKT wana ofisi ipo keko, wale wanatumia mbao yenyewe maana wanachukua kutoka kwenye mapori yao wenyewe. Bei zao ni ghali pia na bahati mbaya contacts za muhusika nimepoteza maana nilienda kwa ishu zangu tofautiWadau nina 800k nataka ninunue kitanda na godoro zuri vya kudumu ila juzi kati nilienda kwa fundi wa vitanda akaniambia kitanda kizuri cha mbao za mninga minimum niwe na 800k akanionesha na picha baadhi ni vizuri kiukweli nikamwambia nitarudi ngoja nijipange, ninachotaka kujua ni kweli vitanda vya mninga vina bei kiasi hicho? au kama kuna mtu anajua sehemu naweza pata kitanda kizuri cha kudumu aniambie wakuu at least 600k naweza kununua.