Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Nawaona ndege tai wenzako
Bosi alicheza kama peleBaada ya kumaliza kidato cha 4 na matokeo yakatoka nikaambulia thiphuri iliyonyooka kabisa, kama baada ya miezi 7 kupita nikapata kazi..... Kazini nilikua Mchelewaji mzuri sana hadi Bwana Bosi akawa kufoka hakuishi..... wakati huo nikikua nakaa Nyumbani, siku hiyo sina hili wala lile Bwana Bosi akanipigia Simu..... ""Wewe kila siku unachelewa kisa umbali ndo sababu yako sasa nimekupangia Chumba na nimelipa miezi 6 nenda ukakae"" hapo sina hata Kijiko.... bahati nzuri nikawa na kaakiba kangu nikanunua Pazia la Dirishani na Godoro maisha ya Gheto yakaanza..... hadi nikanunua Kitanda, Meza ya Tv n.k japo Mama alikua hataki niondoke Nyumbani ila ilinibidi nisepe tu, tangu siku hiyo nikamuomba M/Mungu nisirudi tena kukaa Home wala kwa Ndugu na M/Mungu kanisimamia nilipofikia Alhamdulillah
Sija
Sijajua imeanzia wapo ila katika matumizi ya siku nadhani hata vitu Kama gesi na mafuta au vitu ulivyoweka ndanj pigia kwenye hesabu kwasababu unanunua kwa Pesa ukipata mshahara mfano gesi unanunua 30K kila ukipata mshahara Happ sawa na unatumia 1000 kwsiki so kwenye ile 7000 ongeza 1000
Ghetto lako hili mzee?
Safiii mkuu 👌
TAi lazma awepoSafiii mkuu 👌
Naona na ndege kabisa 😜
Hiyo ndio single room yangu chiefGhetto lako hili mzee?
Wapo wawili wanalinda hapaNawaona ndege tai wenzako
Unajitahidi sana kubalance, m huwa nachemk kabisa lazima nitumie 10k kuendelea kwa siku nikijibana, labda siku ambazo nipo ome tu inakuwa less.. natumia hela vibaya sana na saving siwezi kbsa kipato chenyewe sasa apeche alolo.Nyingi au ndogo?
Asubuh situmii zaidi ya 1000 unless niwe nna kazi ngumu sana
Mchana 3000
Usiku hua 3000 nikiwa nna bundle
Ila nkiwa sina bundle na nataka hela basi nanunua viaz vya buku
Na na viungo vyakupikia vya buku
Gesi,mafuta vipo napika nakula(hi ni kama siku nlichelewa kula pia au sihis njaa ndio hua nafanya hivyo
Wakati mwingine hata 7000 haifiki
Geto kali man.Flat inch ngap?na ivo vistul bei gan?
Nikikumbuka namshukuru sana yule Jamaa alinifungua Akili kutoka Home, maisha ya Geto nayakumbuka sanaBosi alicheza kama pele
Sahani kibao kaka unaalika jumuiya nini?Hiyo ndio single room yangu chief
Geto kali man.Flat inch ngap?na ivo vistul bei gan?
NIlisoma stori ya maisha ya Tai wale "Balded Eagles" ilinivutia sana...Kwanin unapenda tai?
nilinunua nusu dozen kama maandalizi ya kuoaSahani kibao kaka unaalika jumuiya nini?
[emoji16][emoji16][emoji16]safi jipange uvute mwandani wa maisha sasanilinunua nusu dozen kama maandalizi ya kuoa
NakaziaSecret ID
Zingatia Hili[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
ila najua tuu mbeleni atazingua kama sio kutangaza kwa rafik zake au ndugu kua pale ni kwake nawe itakubid kua bwege tuu au kua mkali akutimue
Sent using Jamii Forums mobile app