Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Baada ya kumaliza kidato cha 4 na matokeo yakatoka nikaambulia thiphuri iliyonyooka kabisa, kama baada ya miezi 7 kupita nikapata kazi..... Kazini nilikua Mchelewaji mzuri sana hadi Bwana Bosi akawa kufoka hakuishi..... wakati huo nikikua nakaa Nyumbani, siku hiyo sina hili wala lile Bwana Bosi akanipigia Simu..... ""Wewe kila siku unachelewa kisa umbali ndo sababu yako sasa nimekupangia Chumba na nimelipa miezi 6 nenda ukakae"" hapo sina hata Kijiko.... bahati nzuri nikawa na kaakiba kangu nikanunua Pazia la Dirishani na Godoro maisha ya Gheto yakaanza..... hadi nikanunua Kitanda, Meza ya Tv n.k japo Mama alikua hataki niondoke Nyumbani ila ilinibidi nisepe tu, tangu siku hiyo nikamuomba M/Mungu nisirudi tena kukaa Home wala kwa Ndugu na M/Mungu kanisimamia nilipofikia Alhamdulillah
Bosi alicheza kama pele
 
Sija

Sijajua imeanzia wapo ila katika matumizi ya siku nadhani hata vitu Kama gesi na mafuta au vitu ulivyoweka ndanj pigia kwenye hesabu kwasababu unanunua kwa Pesa ukipata mshahara mfano gesi unanunua 30K kila ukipata mshahara Happ sawa na unatumia 1000 kwsiki so kwenye ile 7000 ongeza 1000

Ndio n sahihi
 
Nyingi au ndogo?

Asubuh situmii zaidi ya 1000 unless niwe nna kazi ngumu sana
Mchana 3000
Usiku hua 3000 nikiwa nna bundle
Ila nkiwa sina bundle na nataka hela basi nanunua viaz vya buku
Na na viungo vyakupikia vya buku
Gesi,mafuta vipo napika nakula(hi ni kama siku nlichelewa kula pia au sihis njaa ndio hua nafanya hivyo
Wakati mwingine hata 7000 haifiki
Unajitahidi sana kubalance, m huwa nachemk kabisa lazima nitumie 10k kuendelea kwa siku nikijibana, labda siku ambazo nipo ome tu inakuwa less.. natumia hela vibaya sana na saving siwezi kbsa kipato chenyewe sasa apeche alolo.
 
Back
Top Bottom