Nyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.
Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.