Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Alaf kweli kuna wanawake hawapendi kabisa habari za Lodge
Kipindi nasoma A level nilikua na pisi yangu ya kishua hataki kabisa mambo ya lodge yeye labda hotel

Nadhani alikua ana mentality kwamba Lodge ni kama hizi guest bubu za uchochoroni wakati kuna Lodge kali kinyama tena ghorofani[emoji28]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Nyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.

Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.
Kama kuna eneo kubwa funga kamba zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weekend ndo siku nafidia usingizi wangu kwahyo naamka saa3 sasa apo nakuta kamba washajaza au wamekaa na mabeseni yao wanafua
Hapo hauna namna zaidi ya kubadilisha ratiba au unaweza ukafua ijumaa usiku kama kuna mwanga wa kutosha

Ukirudi kazini unafua kwahyo weekend inakukuta ushafua

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Nyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.

Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.
Tangu nianze maisha ya kupanga..
Sijawah kaa na mwenye nyumba huwa nawakwepa sana though kuna wengine wana roho nzuri sana ila huwa sitaki kuamini
 
Back
Top Bottom